moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Hongera sana mama kwa jitihada zake.
Hata hivyo namshauri mh rais pamoja na wasaidizi wake, wasilale.
Wafuatilie utekelezaji na usimamizi wa mafungu hayo ya pesa.
Pamoja na lawama nyingi ambazo tunamtupia rais aliyepita, lakini kwenye eneo la usimazi alikuwa vizuri sana.
Pamoja na mambo mengine wahakikishe ule mchezo wa kuharibu mashine za ex ray kwenye hospitali za uma ili kutoa nafasi za kibiashara kwa hospitali binafsi ukome.