Hilo hawataongea… the guys are blindedUmenikumbusha mbali sana aisee. Hata 2010 ilibaki kidogo auze kwa Batilda ila wananchi wakajaa nje jengo la manispaa wakitishia kuchoma moto jengo endapo Lema atauza tena ubunge. Lema alikuwa kwenye hilo jengo.
Ni kama Albadiri. Ila hii ni ya kimasai. Ikishafanyika madhara hutokea kwa waliofanya makosa. Na huwa madhara yake ni kifo kwa aliyehusika.Watoto wa 2000 wanatamani kuelewa hii tamaduni / dhana ya kuvunja chungu. Ni kitu gani? Faida na hasara zake ni zipi?? Tunaomba tusaidie uelewa Mshana Jr
Ni kafara la laana kwa waliotenda mabaya yasiyovumilika kwenye JamiiWatoto wa 2000 wanatamani kuelewa hii tamaduni / dhana ya kuvunja chungu. Ni kitu gani? Faida na hasara zake ni zipi?? Tunaomba tusaidie uelewa Mshana Jr
Kumbe Chadema ndo wanauwa wàtu wa CCM kwa kuwàroga!Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu aliyetangazwa kiharamu afe.
sikiliza
Kuroga ruksa, ila kuteka, risasi hapanaKumbe Chadema ndo wanauwa wàtu wa CCM kwa kuwàroga!
Kwan una wasi wasi? Kwan ni vibaya ikiingia kwenye siasa? Chungu si kinakula Kwa aliye dhulumu?Hao ni wahuni waliozeeka. Chungu kwenye siasa inakujaje? Kama wako vizuri wailoge tume ya uchaguzi. Mambo ya kuvunja chungu ni kwa matukio mengine na sio siasa.
Yes wao wanateka na Hawa wanaloga ngoja tuone mwsho itakuaje?Kumbe Chadema ndo wanauwa wàtu wa CCM kwa kuwàroga!
Asante sana kwa ufafanuzi huu Mshana JrNi kafara la laana kwa waliotenda mabaya yasiyovumilika kwenye Jamii
Ni ibada ya kipekee ambayo mambo mabaya hutamkiwa wahusika mbele ya chungu maalum na mwisho chungu hicho huinuliwa juu na kuachiwa kijibamize ardhini na kuvunjika vipande vipande
Hii haina tofauti na kuvunja kioo