Arusha kama mji wetu mkuu wa kitalii una Hoteli yoyote inayomilikiwa na brand kubwa?

Arusha kama mji wetu mkuu wa kitalii una Hoteli yoyote inayomilikiwa na brand kubwa?

Ile ya nyota tatu imejengwa na TANAPA kule chato katika kuunga mkono jitihada za kuanzisha kanda maalum ya utalii......sasa watu wa Arusha hebu mtufahamishe brand ya TANAPA wana hotel ya nyota ngapi huko Arachuga?
 
Kitovu cha utalii ni chato, hilo swali lipelekwe kwa wana Chato !
 
Kuna iliyotajwa hapo juu although tatizo la Arusha mji ni mdogo sana na mipango mji kama kawaida wanaogopa kulipa fidia.
 
eti, ni hoteli gani Arusha inamilikiwa na franchise kubwa ya hoteli? brands kama Serena, Sheraton, Kempinski, Hyatt nk, ipo?
Nazani Mount Meru Hotel wamemua tu kusimama wenyewe lakini ile Hoteli ni kubwa sana ni the same lavel na Kilimanjaro Hotel
 
Back
Top Bottom