Arusha: Kamanda wa Polisi ACP Shana ampa onyo Godbless Lema kuhusu picha za barabara mbovu

Tatizo linaanzia kule juu kabisa.......

Yeye mwenyewe Jiwe aliwahi kukiri hadharani kuwa kwenye serikali yake anateua wendawazimu wenzake!
Kama naye ni mwendawazimu kwanini tusimpumzishe ?
 
😆😆😆😆
 
Sijui ni Mimi tu Ila Mungu anisamehe sijawahi kumuelewa huyu RPC wa chama Cha Yesu
 
Apumzike kule anapostahili!
 
Kumbukumbu
 
Unamtishia mtu halafu unakufa Erythrocyte
 
Kweli kazi ya Mungu haina makosa, amempenda kiumbe chake.
 
Dunia tunapita tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…