DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mtaacha lini kukwepa upinzani nyie viumbe wa kijani ?Opposition ya ajabu kuwahi tokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaacha lini kukwepa upinzani nyie viumbe wa kijani ?Opposition ya ajabu kuwahi tokea
Kama naye ni mwendawazimu kwanini tusimpumzishe ?Tatizo linaanzia kule juu kabisa.......
Yeye mwenyewe Jiwe aliwahi kukiri hadharani kuwa kwenye serikali yake anateua wendawazimu wenzake!
February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbunga zilizopo nchini Tanzania
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Source: Azam TV
Zaidi, soma: Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja

Kazi ya Mungu haina makosaSijaona polisi anaongea namna hii kama kada wa Lumumba. Hapa kuelekea 2020 tutaona makada wengi wa wakijitokeza .
February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbuga zilizopo nchini Tanzania