been hearing this noise for while to the point that i caught some eagerness to visit Arusha, i expected to see the bevy of beauties in every angle as it has been hailed in this forum. But what i saw there is absolutely nothing special compared to the rest of Tz.
Pakawaida sana tofauti panavyosifiwa na watu, mimi ukiniuliza mkoa ambao una wanawake wengi wazuri nitakwambia Dodoma kiukweli sijaona mkoa wenye wanawake wazuri kama Dom city tena wengi ni mabinti sasa. Yaani kati ya wanawake saba unaokutana nao wanne lazime wakugeuze shingo achaa kabisaa.