Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

Wa arusha bana papuchi tu,
Kwanza wasafi sana,hilo tu,
Muarusha hajawahi niangusha.
 
been hearing this noise for while to the point that i caught some eagerness to visit Arusha, i expected to see the bevy of beauties in every angle as it has been hailed in this forum. But what i saw there is absolutely nothing special compared to the rest of Tz.

Pakawaida sana tofauti panavyosifiwa na watu, mimi ukiniuliza mkoa ambao una wanawake wengi wazuri nitakwambia Dodoma kiukweli sijaona mkoa wenye wanawake wazuri kama Dom city tena wengi ni mabinti sasa. Yaani kati ya wanawake saba unaokutana nao wanne lazime wakugeuze shingo achaa kabisaa.
 
Waarusha wako ki kazi zaidi,.halafu mkielewana mnamalizana inakuwa imeisha.sema hawa wa Dar .kesho unaanza kupata zille sms za kuudhi , ......wangu niko vibaya naomba nifanyie mpango japo ya kula leo......
 
Walioko dar baadhi ndio wametoka Arusha huko huko
 
Back
Top Bottom