Arusha: Kijana atapika damu Lita kadhaa stand kubwa Hadi kufariki Dunia

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina Moja la Abdala mwenye umri wa miaka 28 ametapika damu lsioyokuwa na kipimo akiwa eneo lake la kazi stand kubwa Hadi kufariki dunia.

Kijana huyo aliekuwa anajishughulisha na kazi za kubeba mizigo pamoja kupiga debe amefariki Dunia hii Leo baada ya kutoka hospital ya Mount Meru kitengo Cha sober kumeza dawa aina ya methadone ambazo vijana wengi wa hapo stand hutumia.

Mashuhuuda wa tukio Hilo ambao nao hufanya kazi hapo stand wanasema kuwa baada ya kutoka hospital kumeza dawa alikuja kunywa gongo inayouzwa hapo stand kubwa ndipo akaanza kutapika damu mfululizo Hadi kufariki dunia akiwa hapo hapo stand.

Nae marijani ambae ni mmoja Kati ya vijana wanofanya kazi stand kubwa emesema kuwa tatizo la biashara ya madawa ya kulevya,pombe Kali pamoja na pombe haramu kufanyika ndani ya stand kubwa ndo tatizo maana vijana wengi hutumia vilevi hivyo kupitiliza tena hadharani
Screenshot_20250417-222256.jpg
Screenshot_20250417-222212.jpg
 
Methadone na Gongo which is which?

Hapo utaambiwa chanzo ni GONGO kumbe walaaah, ni hizo METHADONE.

Or maybe a fatal chemical combination of both METHADONE and GONGO COMPOUNDS.

Or maybe it is an internal bleeding caused by some other factors, internal and external.

Au labda kweli ni GONGO.

Cc: DR Mambo Jambo
 
Arusha so sehem ya kukaa mtu learner .
Yan kule ni kwa makonki tu. 🤣🤣🙏🙏
 
Nilifika stand hapo, kuna viduka vinavyozunguka stand, pombe kali inauzwa kama njugu, kuanzia pegi ndogo kabisa, wenyewe wanaita 'dawa'.
 
Methadone na Gongo which is which?

Hapo utaambiwa chanzo ni GONGO kumbe walaaah, ni hizo METHADONE.

Or maybe a fatal chemical combination of both METHADONE and GONGO COMPOUNDS.

Or maybe it is an internal bleeding caused by some other factors, internal and external.

Au labda kweli ni GONGO.

Cc: DR Mambo Jambo
Duh!, Kumbe muda mwingine huyu bibie anatema tu madini na watu wakafaidika nayo.
Monetary doctor Poor Brain njoe msimkatie tamaa hili lishangazi hata kidogo maana sometimes Lina mawazo ya kujenga.
 
Back
Top Bottom