Upite msako sasa wa wauza gongo wote hapo stand.Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina Moja la Abdala mwenye umri wa miaka 28 ametapika damu lsioyokuwa na kipimo akiwa eneo lake la kazi stand kubwa Hadi kufariki dunia.
Kijana huyo aliekuwa anajishughulisha na kazi za kubeba mizigo pamoja kupiga debe amefariki Dunia hii Leo baada ya kutoka hospital ya Mount Meru kitengo Cha sober kumeza dawa aina ya methadone ambazo vijana wengi wa hapo stand hutumia.
Mashuhuuda wa tukio Hilo ambao nao hufanya kazi hapo stand wanasema kuwa baada ya kutoka hospital kumeza dawa alikuja kunywa gongo inayouzwa hapo stand kubwa ndipo akaanza kutapika damu mfululizo Hadi kufariki dunia akiwa hapo hapo stand.
Nae marijani ambae ni mmoja Kati ya vijana wanofanya kazi stand kubwa emesema kuwa tatizo la biashara ya madawa ya kulevya,pombe Kali pamoja na pombe haramu kufanyika ndani ya stand kubwa ndo tatizo maana vijana wengi hutumia vilevi hivyo kupitiliza tena hadharani
Shukuru MUNGU sana wazazi wako walikumbizia mbali mamtoniHao vijana wa arusha kama walizaliwa bahati mbaya mkuu
Nini nafaidika kuusema huu mkoa Mambo Hasi?bushymam anatumia nguvu kubwa kuisema arusha in negative way kama ilivyo kwa gadi tv some times anatunga na habari .
utaandika negative mtu atosoma within 5 min brain ina filter out hio fake news
sadly ni kwamba now one care saiv kila mtu anafocus na maisha yake
Kabisa, hili tusilitupe kabisa.Tukiliwahi linaweza likapona hili..🤣
Duuh masikitiko!Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina Moja la Abdala mwenye umri wa miaka 28 ametapika damu lsioyokuwa na kipimo akiwa eneo lake la kazi stand kubwa Hadi kufariki dunia.
Kijana huyo aliekuwa anajishughulisha na kazi za kubeba mizigo pamoja kupiga debe amefariki Dunia hii Leo baada ya kutoka hospital ya Mount Meru kitengo Cha sober kumeza dawa aina ya methadone ambazo vijana wengi wa hapo stand hutumia.
Mashuhuuda wa tukio Hilo ambao nao hufanya kazi hapo stand wanasema kuwa baada ya kutoka hospital kumeza dawa alikuja kunywa gongo inayouzwa hapo stand kubwa ndipo akaanza kutapika damu mfululizo Hadi kufariki dunia akiwa hapo hapo stand.
Nae marijani ambae ni mmoja Kati ya vijana wanofanya kazi stand kubwa emesema kuwa tatizo la biashara ya madawa ya kulevya,pombe Kali pamoja na pombe haramu kufanyika ndani ya stand kubwa ndo tatizo maana vijana wengi hutumia vilevi hivyo kupitiliza tena hadharani
ni ama uongeze chumvi au utunge fake habariNini nafaidika kuusema huu mkoa Mambo Hasi?
Mpigie RPC Kwa uhakika zaidi
Very,very lusulumanio!
Nimeishi maeneo mengi yenye vurugu kama Cape na Jozi ila hapa Arusha watu ni watata sana kama wapo vitani muda woteNa bado wanapasuliwa Spika na Wazungu Isanga family
Anaweza akawa na Upper GI bleeding maana Wengi wanapata Sana Hii kiti tena wale wanatumia Gongo kwa Muda mrefu inakwangua Layer ya Juu sanaMethadone na Gongo which is which?
Hapo utaambiwa chanzo ni GONGO kumbe walaaah, ni hizo METHADONE.
Or maybe a fatal chemical combination of both METHADONE and GONGO COMPOUNDS.
Or maybe it is an internal bleeding caused by some other factors, internal and external.
Au labda kweli ni GONGO.
Cc: DR Mambo Jambo
IkisaVery,very lusulumanio!
Anaweza akawa na Upper GI bleeding maana Wengi wanapata Sana Hii kiti tena wale wanatumia Gongo kwa Muda mrefu inakwangua Layer ya Juu sana
ni ama uongeze chumvi au utunge fake habari
i think ni time ya wewe ku wake up na kuacha huo ujinga
Haha. Mji mchafu Sana pia ule.
Marasta wengi chuga hawana marinda au nasema uongo?Nimeishi maeneo mengi yenye vurugu kama Cape na Jozi ila hapa Arusha watu ni watata sana kama wapo vitani muda wote