Arusha: Kijana atapika damu Lita kadhaa stand kubwa Hadi kufariki Dunia

Upite msako sasa wa wauza gongo wote hapo stand.
 
bushymam anatumia nguvu kubwa kuisema arusha in negative way kama ilivyo kwa gadi tv some times anatunga na habari .

utaandika negative mtu atosoma within 5 min brain ina filter out hio fake news

sadly ni kwamba now one care saiv kila mtu anafocus na maisha yake
 
Upite msako sasa wa wauza gongo wote hapo stand.
Police wenyewe wameshachoka ma wameshazoea aina ya maisha ya hapa, maana imekuwaekama desturi Sasa , vijana ma wanawawake hawambiliki
 
Nini nafaidika kuusema huu mkoa Mambo Hasi?
Mpigie RPC Kwa uhakika zaidi
 
Duuh masikitiko!
 
Anaweza akawa na Upper GI bleeding maana Wengi wanapata Sana Hii kiti tena wale wanatumia Gongo kwa Muda mrefu inakwangua Layer ya Juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…