Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi.

Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu ya daraja, na endapo mtu atakuwa hana kiasi hicho cha pesa hulazimika kupita kwenye maji.

Mto Themi ni kiunganishi cha kata tatu zote zipo ndani ya jiji.

 
Daraja la kisasa kabisa Kama linavyooonekana pichani. Hongera marasta wa Arusha Kwa ujenzi wa daraja la kisasa
 
Hiyo ndio PPP sasa ukisikia
 
1. "Tsh 200 kila avukapo mtu".

2. "Tsh 400 kila siku kupita juu ya daraja..."

Inasomeka ila haieleweki. Common sense draws blank.

Mfano, what if mtu akivuka mara 9 kwa kutwa? (Leave alone usiku)

Bakia na namba 1 pekee to make ur message well corresponding.

-Kaveli-
 
Thanks so much for bringing this to my attention. I will consult my other fellow Arusha billionares to construct high level bridges.

Arusha billionare.

Masters John Hopkins university of applied science.
 
Thanks so much for bringing this to my attention. I will consult my other fellow Arusha billionares to construct high level bridges.

Arusha billionare.

Masters John Hopkins university of applied science.

The kopanhagen hustler.

-Kaveli-
 
Sasa sisi tufanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…