Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

Thanks so much for bringing this to my attention. I will consult my other fellow Arusha billionares to construct high level bridges.

Arusha billionare.

Masters John Hopkins university of applied science.
Lea Kibibi huko
 
Lea Kibibi huko
Screenshot_20230519-100707.jpg

Ncha Kali kikiboxer Myahudi Jr II hydroxo Chaliifrancisco
 
Safi sana jamaa wamejuwa kujiongeza,
Hivi madiwani na wabunge huko wanafanyana nini

Ova
 
Arusha kuna mabango 100+ ya kumsifia mama Samia, na mama Samia analipa Mil 10 kwa kila bao, je hayo ni muhimu kuliko hatari wanayokabiliwa nayo hao wanafunzi?
 
Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi.

Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu ya daraja, na endapo mtu atakuwa hana kiasi hicho cha pesa hulazimika kupita kwenye maji.

Mto Themi ni kiunganishi cha kata tatu zote zipo ndani ya jiji.

View attachment 2627031View attachment 2627032
Yule mbunge aliyekuwepo miaka kumi iliyopita inamana alikuwa halioni hili daraja
 
Wangefanya shs.50/=
Hapo sawa 200 kubwa sana

Tunajuwa hao jamaa wamehangaika,wamejitolea kuliweka
Hilo daraja ila wangefanya hyo 50 angalau watumiaji ambao ni wenzetu/wenzao wa hali ya chini waweze litumia

Ova
 
Hao wanaoweka hayo madaraja ni wavuta bangi. Most of the time utawakuta wameweka hivyo vidaraja hata kama maji ni kidogo, watakaa hapo huku wakiendelea kuvuta bangi.. In short ni watu waliokosa kazi/wahuni
 
i ..tafauti yao na serikali ni hawa ni wahuni wa mtaan while.selikali ni wahuni wa officine
 
Godbless Lema alikua Mbunge Arusha Mjini miaka kibao Ila ndo vile yeye kelele tu
Hivi lema yeye ndio wa kwanza kuwa mbunge hapo? Bora hata lema ataonyesha hospital ya mama na mtoto
 
Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi.

Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu ya daraja, na endapo mtu atakuwa hana kiasi hicho cha pesa hulazimika kupita kwenye maji.

Mto Themi ni kiunganishi cha kata tatu zote zipo ndani ya jiji.

View attachment 2627207View attachment 2627208
Miaka kibao after uhuru
 
Back
Top Bottom