Kwa mfumo wa nchi yetu ambao kila rais anaekuja analeta mambo yake licha ya wote kutoka chama kimoja unaona kuna process? Ikiwa anaelewa mambo ya process angebeza juhudi za waliomtangulia? Yeye anaahidi mambo atakayoyafanya tukimpa kura kwenye kipindi chake. Unaelewa SMART goals? Akitoa ahadi ambazo hazitekelezeki kwenye kipindi chake kikatiba si ni zaidi ya hasara? Hata akitaka atawale zaidi kwa ulivyoiweka miaka 1000 haitamsubiria aendelee kuwa madarakani.
Shule nikiyosoma inaingiaje hapa? Bora waliosomea ujinga wanajua watumie maandishi ya rangi gani na wakati upi.