Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

That’s what is going to happen!! Ni kweli ana tuhuma kama zote lakini sasa kwamfano tuhuma za kuwataka wake za watu kinguvu kuwabaka nk ishu itakayowachinja ni Ushahidi, je waliripoti polisi? Na taratibu zingine kama hizo
Nadhani ujuzi wako wa sheria ni mdogo. Unafikiri kama alifanya uhalifu ni lazima wawe waliripoti polisi ndiyo itakuwa kosa? Nani kakudanganya? Jinai haifi na kama umefanya kosa iwe iliripotiwa au haikuripotiwa unakula hukumu.
 
Jamani mheshimiwa kama huyu anachuchumishwa dauni namna hii duu nilifikiri ni kina kajambanani tu ndo wanafanyiwaga hivi , ama Kweli Muoshaji Huoshwa !
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Utavuna ulichopanda! Usitegemee tofauti na ulichopanda
 
UTU na sio CHEO,kwa minadhiri hiyo na yeye ni mmoja wa walinajisi utu wa wengine,ni sawa tu na yeye UTU wake ukinajisiwa.
 
JE WAKUCHOMA SINDANO PYUUUUUUUUU Sio JINAI?

AU KWAKUWA NI MJOMBA KAYAFA
 
Ben Sanane ndio nani?

mnauana wenyewe mnataka wawajibike wengine?

sasa mnaanza kusema hamkushinda uchaguzi kwa sababu hamukua na wagombea sahihi...

sasa mlichokua mnalalamika ni nini?

Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
Sasa ni wakati wa kumpata Ben Saanane hata ikibidi kaburi la bwana yule lifukuliwe ilimradi tu kijana wetu apatikane!
 
Mwisho wa ubaya aibu

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
UPENDO WA MBOWE
Amemuagiza LISSU arudi Mara moja ili amtete SABAYA
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Ahhhaaa heh heh heeeeerr! Siku zake zimefika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…