Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

siamini kama alikuwa anaonea wananchi alafu JPM amuache. Watz tunafurahi kuona mtu wa aina ya sabaya anapelekwa mahakamani huku wahujumu uchumi wakubwa na wezi ambao wameibia serikali tukiwa tunanaka watolewe mahabusu, na wengine tukiwak8ngia kifua. naanza kuelewa sasa kwanini Kenyatta alimwambia nyerere ni rahisi saba kuongoza Tz.
Kwakuwa unaamini JPM alikuwa Mungu hana makosa sio?

Unakumbuka alivyomuacha Makonda katikati ya saga la vyeti feki?
 
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_(@freedom_fighter_2025)_posted_on_Instagram_•_Jun_4,_2021_at_11:3...jpg
 
Picha hiyo ikutafakarishe mtu yeyote utakayeiona.

Tambua ya kuwa nafasi uliyonayo ni ya muda tu. Hata kama utaishikilia mpaka mwisho wa uhai wako, ipo mahali utalipwa kutokana na matendo yako.

Busara zikuongoze utende haki na muombe Mungu akusimamie.

Majivuni na ukatili hayana lolote bora la kulipalilia.

Jana ulikuwa ukiwaamuru polisi na kukupigia salute, leo wanakupigisha magoti na pingu mkononi.
Nabii Lema alimuonya
 
Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.

Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Umesahau yeye alivyokuwa anajirekodi na makamera wakati anaonea watu? Ilikuwa haki ile?
 
Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.

Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Acha use.nge...
Leo analala na basha moja pale Kisongo,mlidhani nchi ya baba yenu hii.
 
Huyu dogo kushikiliwa week moja tu kakonda hivi, akianza zile route za makosa hayana dhamana, and kesi itatajwa tena mwezi wa kumi si atabaki mifupa kabisa. And yet wanasema wamasai majasiri, ujasiri gani alionao anakonda kibwegebwege hivi
 
Kwakuwa aliwaaminisha kuwa ukatili unalipa. Aliwahi kutamka hadharani kuwa yeye huwa hajaribiwi. Yuko wapi sasa? Angalia alvyowaachia wafuasi wake mateso makubwa.

Yaani Saambaya leo anaamkia lupango bila kuchana nywele wala kunawa uso badala ya Gran Melia pembeni akiwa na Binti Mrembo?? Ndugai kama una akili jifunze kitu hapo. Acha kiburi cha madaraka.

sabaya aliishalala mahabusu kabla ya kuwa DC,msiwe vilaza namna hii.

yaani ccm inaanua ijipigie wapi sawa tu,maana ina watazamaji mazezeta fulani hivi.
 
Mungu anasema,mkifuata maagizo yangu na kunipenda na kumpenda jirani yako kama nafsi yako ,nitakulinda usifikwe na mabaya kabisa.Je ni nani apandaye mahindi akavuna mbaazi?;Mshahara wa dhambi ni mauti.Hakika Mungu ni Mwema na yupo kila mahali.Tujifunze kutenda mema tungali hai ili tukifa tuache mema yetu yakitushuhudia.Eeh mwenyezi Mungu tuangazie tujue mapungufu yetu na kuyaacha.
 
You must be sick upstairs....
CCM ndo ilimtuma...??
Nyie ndo wale akina uvccm waliosema safari hii Lissu haponi mtatumia sindano...
Era ya katili mwenzenu gone . ..
Malipo hapa hapa duniani

kwani lissu karudi??
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.

Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili

Pia soma
1) Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

2) Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU

View attachment 1807996
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama

Economic case no 27/2021 pole yake. Leo kama sio yeye yani
 
Back
Top Bottom