OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Angalau naweza kumuombea Samia kheri katika utawala wake huku nikimkosoa. Tenda haki mamaml
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa..Kila mtu atavuna anachopanda
Machalii zangu hapa back town Ngarenaro wanasema eti saa mbovu ilikuwa ikitesa hapa kabta na sura inang'aa kama kiboko alotoka mtoni leo sura imefubaa kama jeans ya teja.Saa mbovu yenyewe inasemaje Chalii ya Arusha?
"Kipimo kilekile mnachowapimia wenzenu ndicho mtakacho pimiwa"Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili
1) Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake
2) Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola
View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU
View attachment 1807996
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama
Kazi ya kuiba kura kwa Mtutu wa bunduki hata mngekuweka Nabii Tito anangeshinda tu. Acha wakamfumue malinda huko kisongo ili akili imkae sawaKazi yote aliyofanya Sabaya ya kumng'oa Mbowe pale Hai leo hii analipwa kwa kushikiwa "bastola" kama jambazi?
Aisee!!!!!
Pole yake aisee.Machalii zangu hapa back town Ngarenaro wanasema eti saa mbovu ilikuwa ikitesa hapa kabta na sura inang'aa kama kiboko alotoka mtoni leo sura imefubaa kama jeans ya teja.
Hii dunia ni balaaTwin hatari, kweli maisha yanabadilika haraka alivyokua kiburi huyu Sabaya!! kwanza wasimpe dhamana akae huko huko!!
Asante dearSimara
Makiseo
Evelyn Salt
Nuzulati
Raynavero
Dinazarde
BAK
cocastic
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ipo siku hata Magufuli atashtakiwa akiwa kaburini kwa kulea na kuendekeza unyama uliokithiriAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili
1) Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake
2) Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola
View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU
View attachment 1807996
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama
Pumbavu kabisa wewePeleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.
Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.