Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.

Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili

1) Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

2) Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU

View attachment 1807996
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama
"Kipimo kilekile mnachowapimia wenzenu ndicho mtakacho pimiwa"

Angalia ,usikute askari walewale aliowatumia kukamata na kutesa raia ndiyo hao hao walikuja kumkamata leo.Ndiyo hao wanao mwambie leo "Wewe Sabaya chuchumaa chini!"
 
Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.

Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.

Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili

1) Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

2) Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU

View attachment 1807996
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama
Ipo siku hata Magufuli atashtakiwa akiwa kaburini kwa kulea na kuendekeza unyama uliokithiri
 
siamini kama alikuwa anaonea wananchi alafu JPM amuache. Watz tunafurahi kuona mtu wa aina ya sabaya anapelekwa mahakamani huku wahujumu uchumi wakubwa na wezi ambao wameibia serikali tukiwa tunanaka watolewe mahabusu, na wengine tukiwak8ngia kifua. naanza kuelewa sasa kwanini Kenyatta alimwambia nyerere ni rahisi saba kuongoza Tz.
 
Maisha hayajawahi kutabirika....
Huyu alikua mpuuzi na wengi walitabiri maisha yake
 
Back
Top Bottom