ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Utakuwa mjingaMimi simlaumu Sabaya namlaumu aliyemteua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa mjingaMimi simlaumu Sabaya namlaumu aliyemteua.
Kwakuwa unaamini JPM alikuwa Mungu hana makosa sio?siamini kama alikuwa anaonea wananchi alafu JPM amuache. Watz tunafurahi kuona mtu wa aina ya sabaya anapelekwa mahakamani huku wahujumu uchumi wakubwa na wezi ambao wameibia serikali tukiwa tunanaka watolewe mahabusu, na wengine tukiwak8ngia kifua. naanza kuelewa sasa kwanini Kenyatta alimwambia nyerere ni rahisi saba kuongoza Tz.
Nabii Lema alimuonyaPicha hiyo ikutafakarishe mtu yeyote utakayeiona.
Tambua ya kuwa nafasi uliyonayo ni ya muda tu. Hata kama utaishikilia mpaka mwisho wa uhai wako, ipo mahali utalipwa kutokana na matendo yako.
Busara zikuongoze utende haki na muombe Mungu akusimamie.
Majivuni na ukatili hayana lolote bora la kulipalilia.
Jana ulikuwa ukiwaamuru polisi na kukupigia salute, leo wanakupigisha magoti na pingu mkononi.
Unateseka sana jamaa. Bado hauamini jamaa yako kavuta.Utakuwa mjinga
Umesahau yeye alivyokuwa anajirekodi na makamera wakati anaonea watu? Ilikuwa haki ile?Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.
Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Acha use.nge...Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.
Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Dj gang hadi meno32!
sasa ndo naelewa kwanini huyu jambazi alitoa chozi vile siku ya mazishi ya mwendazakeKumbe sio mzaha, pole yake maana alidhan baba atadumu milele.
Kwakuwa aliwaaminisha kuwa ukatili unalipa. Aliwahi kutamka hadharani kuwa yeye huwa hajaribiwi. Yuko wapi sasa? Angalia alvyowaachia wafuasi wake mateso makubwa.
Yaani Saambaya leo anaamkia lupango bila kuchana nywele wala kunawa uso badala ya Gran Melia pembeni akiwa na Binti Mrembo?? Ndugai kama una akili jifunze kitu hapo. Acha kiburi cha madaraka.
Jambazi mbaroni
Mzimu unakuchapa tu mbele na nyumaUnateseka sana jamaa. Bado hauamini jamaa yako kavuta.
Hahahasasa ndo naelewa kwanini huyu jambazi alitoa chozi vile siku ya mazishi ya mwendazake
You must be sick upstairs....
CCM ndo ilimtuma...??
Nyie ndo wale akina uvccm waliosema safari hii Lissu haponi mtatumia sindano...
Era ya katili mwenzenu gone . ..
Malipo hapa hapa duniani
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili
Pia soma
1) Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake
2) Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola
View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU
View attachment 1807996
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama