Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Wewe wasema hivyo kwa kuwa hujui, laiti ungekuwa mhanga wake....
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Ovyo Sana
 
Kufa hafi ila cha moto atakiona!
 
Hakika Mama ana penda haki yani Mama asikie jamaa alikuwa na baka na Kufiii wake za watu!!
Mama kama Mama lazima itamtoa machozi!!
Aliteka wale vijana kipindi cha kura akaenda kuwanyia ukatili Arusha!
Jamaa ni zaidi ya shetani!!
kwa hili Mama Samia nina kuombea Dua njema kwa Muumba wa mbingu na aridhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…