SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Unawezaje kuipa laana Corona?hata waliomuua hawataishi milele na laana yake inawatafuna taratibu...
wote tutakufa tu
Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawezaje kuipa laana Corona?hata waliomuua hawataishi milele na laana yake inawatafuna taratibu...
wote tutakufa tu
Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
wala msisingize corona kilaa kitu kiko waziUnawezaje kuipa laana Corona?
Unateseka sana kamfukue.Mzimu unakuchapa tu mbele na nyuma
Wamemshukia mzima mzimaa kama utaniii…!!Bastola ya nini tena, jamaa atakuwa hatari huyu
Bila CDM nchi hii haiendi popote ni ukweli mchungu!mnajua kila kitu nyie wenyewe sema mnazuga tu.
yaani mimi chadema siwaamini kabisa
Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
Kabisa Mkuu.Aisee, dunia inakimbia sana.
Tunaendelea kusisitiza kwamba Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetuKwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu amina
Leo nimepata furaha kubwa sana maishani
Mama nasema asante
Viva samia Hassan
Auwawe kwa kipi cha maana alichokua nacho.punguza ujinga.hata waliomuua hawataishi milele na laana yake inawatafuna taratibu...
wote tutakufa tu
Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
Na Kisarawe kuna mizigo kaficha.Polisi na Dpp wanajua wafanyalo subiri charge sheet unaweza kuduwaa ukisikia jamaa kakutwa na bilioni kadhaa bank au kwenye pipa nyumbani
wewe ndio upunguze ujinga maana inawezekana hata hujielewiAuwawe kwa kipi cha maana alichokua nacho.punguza ujinga.
Wewe wasema hivyo kwa kuwa hujui, laiti ungekuwa mhanga wake....Hii Kuchuchumaa pia ipo kwenye sheria ?
Sio kwamba namtetea jamaa ila two wrongs does not make a right...., Huyu Jamaa adhibitiwe na kuhukumiwa kisheria na ikibainika sio tu kwamba achuchumae hata kama sheria inasema apigwe bakora na apigwe..., ila kabla ya hapo nadhani hii ni wrong precedent
ukweli kawambie ndugu zako sisi sio wafuata upepoBila CDM nchi hii haiendi popote ni ukweli mchungu!
Ovyo SanaNaona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Kufa hafi ila cha moto atakiona!Hayo mashtaka yake sipati picha.
1. Kubaka.
2. Kudhuru mwili (shambulio yule diwani)
3. Kulawiti.
4. Unlawful trespass (Aishi Hotel)
5. Kufanya vurugu kwenye hoteli kule Machame.
6. Madai- Kula,kunywa, na kulala hotelini bila kulipa, saloon, maduka ya nguo, n.k
7. Kulazimisha kulipwa pesa kwasababu ya cheo/nafasi yake.
Kuliko asubiri siku ya hukumu bora aombe Mungu amchukue.
Kawaulize Takukuru na polisi waliomkamataHakuna mtuhumiwa anayekosa utetezi. He is innocent until proven guilty.
Sasa wewe unayesema ni muuaji, tuambie amemuua nani?????????????