Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Siku ya leo akipelekwa "GEREZA LA KISONGO" mara baada ya kusomewa mashtaka, mapoloo wa "CHADEMA/ACT" wanamtoa marinda yote 32.

Narudia tena, siku ya leo akipelekwa kisongo, wanamzibua mtaro mapema sana.

Narudia kwa sauti kubwa, watu huko "GEREZA LA KISONGO" wameshaanza shamra shamra za kumpokea "MWALI WAO". Maandalizi yanafanyika huku shangwe ikitamalaki na wafungwa wakijiburudisha na ule wimbo wa "Dada huyooo, kashaolewaaa!!! Na mahaariii, ishatolewaaa!!! mahariiii ishatolewaaaa!!!". Kungwi wa gereza anamsubiri ili amfunde ipasavyo.

● Mungu amlinde Mama Samia, Mungu amlinde Kamanda Salum Hamduni.

● Hatimae tumepata viongozi wanaosimamia "HAKI & UTU", japo hawawezi kutufurahisha raia wote millioni 60, ila mdogo mdogo tutafika.
Watoto wa Kikuyu - Dodoma walishamzibua marinda kitambo.
 
Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
P
Je ulivyomchongea Kabebdela akafungwa mpaka na mama yake akafa hayo unayaona madogo. Acha zako hizo. Aliowabaka wanawake uandhani wanajisikiaje? acha zako Pascal Mayalla
 
Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
P

Naskia na wewe ni mnoko tuu ulimnokolea mwenzio.
Subiri muda wako na wewe 😂😂😂
 
Shida ni moja moja umekuja na majibu ya maswali yako harafu unataka majibu gani sasa.
 
Jamhuri ikitaka kutotenda haki hakutakuwa na la kufanya. Justice delay is justice denied. Hatakuwa wa kwanza kucheleweshewa haki yake.
Nb: Jina la Bwana jasusi si langu.
Kwahiyo tutegemee nini mheshimiwa Jabali?

Kumbe wewe sio mmojawapo wa majasusi waliopo humu!?

Hii mitandaoni bhana inachekesha kweli kweli.
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikisikia tuhuma mbalimbali zikielekezwa kwa huyu mtu anayeitwa Ole Sabaya — Mkuu wa Wilaya ya Hai (by then).

Sijui ni ugoigoi wangu huu ama elimu duni niliyonayo inayonifanya nisielewe hasa kiini cha jinamizi linalomuandama huyu mtu?

Mwanzoni, nilikuwa namfahamu sabaya kama Kijana jasiri, shupavu, anayejiamini, na aliyefanya kazi chini ya falsafa madhubuti za Rais Magufuli za uchapa kazi na uwajibishaji wa mafisadi yaliyoitafuna nchi hii.

Kwa kadiri ya vyombo vya habari vilivyomripoti, alikuwa anaonekana ni kiongozi anayeshughulikia ujambazi kwa wakati mwingi - eg, ukamataji wa madawa ya kulevya, mabangi, fedha bandia nk...

Zaidi ya yote, alionekana ni kiongozi aliyehusika kwa kiwango kikubwa kukipaisha chama cha mapinduzi na kukiweka kwenye chati, huku akiwashughulikia wapinzani kwa namna za hapa na pale.

Hivi karibuni, baada ya Rais Magufuli Kufariki dunia, huyu Kijana amekuwa akizongwa na majinamizi yaliyoibuka kutoka pasipojulikana.

Kuna wale majasusi wa twitter (wenyewe wanaitwa Twirrah) ndio walikuwa vinara wa kuibua shutuma na tuhuma za hapa na pale.

Ukiachana na hawa majasusi uchwara wa twirrah, kulikuwa na jopo kubwa la multiple ID's Jamiiforums na kwenye mitandao mingine ambazo zilikuwa zinamuandama mpaka hapo aliposimamishwa kazi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Hizi tuhuma za mitandaoni, kwa bahati mbaya, hazina ithibati yoyote.

Mimi binafsi huwa napenda kufuatilia mambo na kujiridhisha pasipo shaka kuhusu ukweli na uhalali wake. Sipendi kurukia rukia tu habari.

Kuna majasusi wengine kutoka twirrah wanasema sabaya kabaka wanawake mia mbili. Wengine wanasema sijui kalawiti makada wa chadema.

Stori zimekuwa nyingi sana bila ushahidi kuwekwa hadharani. Kila mtu anaibuka na lake.

Zamani nilisikia pia hata humu kuna majasusi (wanaitwa sijui TISS?) — Ningefurahi kama wangetujuza kwa hakika kuhusu tatizo alilonalo huyu mtu wa kuitwa Sabaya.

Kwa sisi wenye akili duni zisizoweza kuchambua mambo kwa ufasaha tumebaki kwenye mshangao bila kuelewa ni nini hasa tatizo!

Tunaangalia tu huko twirrah kila mtu anasema lake.

Una matatizo! Unamuuliza Nani?
 
Back
Top Bottom