Akipatikana na hatia kosa kama uhujumu uchumi au unyang'anyi wa kutumia silaha, minimum sentence ni miaka mingapi?Akijinyonga takuwa mjinga wa mwisho, bado kijana sana kw aumri wake, ana muda mwingi wa kujirekebisha.
ana movie zake tangu SJUT ila kwa sasa tunapiga kimya mamlaka ifanye kazi yake.
Unyang'anyi wa kutumia silaha ni 30 yearsAkipatikana na hatia kosa kama uhujumu uchumi au unyang'anyi wa kutumia silaha, minimum sentence ni miaka mingapi?
Watoto wa Kikuyu - Dodoma walishamzibua marinda kitambo.Siku ya leo akipelekwa "GEREZA LA KISONGO" mara baada ya kusomewa mashtaka, mapoloo wa "CHADEMA/ACT" wanamtoa marinda yote 32.
Narudia tena, siku ya leo akipelekwa kisongo, wanamzibua mtaro mapema sana.
Narudia kwa sauti kubwa, watu huko "GEREZA LA KISONGO" wameshaanza shamra shamra za kumpokea "MWALI WAO". Maandalizi yanafanyika huku shangwe ikitamalaki na wafungwa wakijiburudisha na ule wimbo wa "Dada huyooo, kashaolewaaa!!! Na mahaariii, ishatolewaaa!!! mahariiii ishatolewaaaa!!!". Kungwi wa gereza anamsubiri ili amfunde ipasavyo.
● Mungu amlinde Mama Samia, Mungu amlinde Kamanda Salum Hamduni.
● Hatimae tumepata viongozi wanaosimamia "HAKI & UTU", japo hawawezi kutufurahisha raia wote millioni 60, ila mdogo mdogo tutafika.
Je ulivyomchongea Kabebdela akafungwa mpaka na mama yake akafa hayo unayaona madogo. Acha zako hizo. Aliowabaka wanawake uandhani wanajisikiaje? acha zako Pascal MayallaKumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
PKaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...www.jamiiforums.com
Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
PKaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...www.jamiiforums.com
Hivi haya yanayofanyika kwa Sabaya ni mapya yanayotakiwa kuja kulipiziwa au ni malipizi kwa aliyoyafanya yeye kabla?Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.
Wachawi nuksi kweli hawa!Na wachawi hawa ndo wamempeleka mahakamani leo.
Kwahiyo tutegemee nini mheshimiwa Jabali?Jamhuri ikitaka kutotenda haki hakutakuwa na la kufanya. Justice delay is justice denied. Hatakuwa wa kwanza kucheleweshewa haki yake.
Nb: Jina la Bwana jasusi si langu.
Majibu yapi hayo?Shida ni moja moja umekuja na majibu ya maswali yako harafu unataka majibu gani sasa.
Kwa muda sasa nimekuwa nikisikia tuhuma mbalimbali zikielekezwa kwa huyu mtu anayeitwa Ole Sabaya — Mkuu wa Wilaya ya Hai (by then).
Sijui ni ugoigoi wangu huu ama elimu duni niliyonayo inayonifanya nisielewe hasa kiini cha jinamizi linalomuandama huyu mtu?
Mwanzoni, nilikuwa namfahamu sabaya kama Kijana jasiri, shupavu, anayejiamini, na aliyefanya kazi chini ya falsafa madhubuti za Rais Magufuli za uchapa kazi na uwajibishaji wa mafisadi yaliyoitafuna nchi hii.
Kwa kadiri ya vyombo vya habari vilivyomripoti, alikuwa anaonekana ni kiongozi anayeshughulikia ujambazi kwa wakati mwingi - eg, ukamataji wa madawa ya kulevya, mabangi, fedha bandia nk...
Zaidi ya yote, alionekana ni kiongozi aliyehusika kwa kiwango kikubwa kukipaisha chama cha mapinduzi na kukiweka kwenye chati, huku akiwashughulikia wapinzani kwa namna za hapa na pale.
Hivi karibuni, baada ya Rais Magufuli Kufariki dunia, huyu Kijana amekuwa akizongwa na majinamizi yaliyoibuka kutoka pasipojulikana.
Kuna wale majasusi wa twitter (wenyewe wanaitwa Twirrah) ndio walikuwa vinara wa kuibua shutuma na tuhuma za hapa na pale.
Ukiachana na hawa majasusi uchwara wa twirrah, kulikuwa na jopo kubwa la multiple ID's Jamiiforums na kwenye mitandao mingine ambazo zilikuwa zinamuandama mpaka hapo aliposimamishwa kazi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hizi tuhuma za mitandaoni, kwa bahati mbaya, hazina ithibati yoyote.
Mimi binafsi huwa napenda kufuatilia mambo na kujiridhisha pasipo shaka kuhusu ukweli na uhalali wake. Sipendi kurukia rukia tu habari.
Kuna majasusi wengine kutoka twirrah wanasema sabaya kabaka wanawake mia mbili. Wengine wanasema sijui kalawiti makada wa chadema.
Stori zimekuwa nyingi sana bila ushahidi kuwekwa hadharani. Kila mtu anaibuka na lake.
Zamani nilisikia pia hata humu kuna majasusi (wanaitwa sijui TISS?) — Ningefurahi kama wangetujuza kwa hakika kuhusu tatizo alilonalo huyu mtu wa kuitwa Sabaya.
Kwa sisi wenye akili duni zisizoweza kuchambua mambo kwa ufasaha tumebaki kwenye mshangao bila kuelewa ni nini hasa tatizo!
Tunaangalia tu huko twirrah kila mtu anasema lake.
Nakuuliza wewe!Una matatizo! Unamuuliza Nani?
RIP Magufuli. Ishi na watu vizuri sponsor hufa