Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
unless witness wakijisalimisha. otherwise itabaki storyKatika zote hizo madai ambayo ni ngumu kuthibitisha ni ubakaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unless witness wakijisalimisha. otherwise itabaki storyKatika zote hizo madai ambayo ni ngumu kuthibitisha ni ubakaji
Ni Martin M.M kupitia Twitter ambapo ameandika haya:
Hati ya Mashtaka ya SABAYA LAINI sana. ML kuna PLEA bargain. SABAYA ameteka, amebaka, amepiga watu misumari, amekata watu masikio, amevamia hoteli na maduka, amelawiti.. Vinginevyo tuelezwe tuhuma nyingine zitaongezwa. Mliokuwa mahakamani, prosecutor kasemaje? Police, act upon!
Huu naamini ni mwanzo tuu makubwa yanakuja.Hii inatumika kumweka mahali ambapo hawezi toroka.Katika zote hizo madai ambayo ni ngumu kuthibitisha ni ubakaji
Hata hivyo Hana tuhuma yoyote ya ubakaji. Ni kutakatisha pesa, uhujumu uchumi na kuendeshea genge la uhalifuKatika zote hizo madai ambayo ni ngumu kuthibitisha ni ubakaji
Mwendazake anajua kwanini alikua hachukuliwi hatua.Hivi huyo jamaa info zake zilikuwa hazifiki kwa wakubwa, aliwezaje ku-survive na mauchafu yote hayo.....
Huyo msahauni, hatoki. Plea bargain ipo kwenye money laundering tu.Na hayo ya plea bargain ni rahisi tu kuyamaliza.
This is rubbish! Mabunduki ndio waede kuwateka watu na fedha hiyo? Hawa prosecutors wanataka ku create defective charges baadaye waachiwe huruWanadaiwa walimfunga pingu na kumpiga Bakari Msangi ambaye ni diwani wa CCM kata ya Sombetin na kumuibia Sh390,000 na pia katika eneo la Bondeni jijini Arusha wakitumia silaha, Sabaya na walinzi hao wanatuhumiwa kumpiga, kumtishia silaha na kumpora Ramadhani Ayoub simu na Sh35,000.
Wewe kutokuona picha akiwa anafanya Uhalifu haimanishi kwamba hajafanya kwingine, kaa kwa kutulia.Mimi nahisi kuna chuki binafsi kuanzia kwenye uongozi wa juu..sio bure...kwa sababu kwa namna linavyoengelewa hili swala na ushaidi uliopo haviendani kabisa...mimi sijawahi kuona clip akimnyang'anya mtu pesa au kuvamia nq kuiba
Tena hao Askari watakua na maarifa zaidi ya askari wa kawaida.Watu aliokuwa akiwapa amri ya kuchuchumaa chini leo wao ndiyo wanamwambia achuchumae chini na makofi juu.