Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Tatizo lake huyu ni kwamba hataki kuamini kama vile alivyokua mgumu kuamini kwamba mwendazake kisha enda. Hawaamini uhalifu wa Sabaya kwa sababu anamchafua shujaa.Bado hawajapanda kizimbani mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lake huyu ni kwamba hataki kuamini kama vile alivyokua mgumu kuamini kwamba mwendazake kisha enda. Hawaamini uhalifu wa Sabaya kwa sababu anamchafua shujaa.Bado hawajapanda kizimbani mzee
Hata wakijitokeza, kesi ya ubakaji ni pale ukikutwa red handed tofauti na hapo labda awe ni mtoto. Otherwise kesi ya kubaka ni ngumu sana kuthibika, hivyo hata wakijitokeza mashahidi sasa hivi ni kazi bure. Labda ndiyo maana hata TAKUKURU au DPP wameamua kuondoa tuhuma za ubakaji na hapo ndiyo utaelewa kwamba this time they mean businessunless witness wakijisalimisha. otherwise itabaki story
Mwenzake gambo,hapi walibadili gia angani yangewakuta naoHuyo msahauni, hatoki. Plea bargain ipo kwenye money laundering tu.
Misumari ya moto na nyundo zake ipo hapo kwenye ;
1. Kuteka na kutesa
2. Armed Robbery
3. Kuendesha genge la kihalifu
4. Rushwa
5. Abuse of power
Huyu msahauni tu. Mwendazake slikua anabemenda watoto wa watu kwa kuwapa nafasi wasizozimudu na wakaanza kuharibikiwa huku akiwachekea.
Ni Martin M.M kupitia Twitter ambapo ameandika haya:
Hati ya Mashtaka ya SABAYA LAINI sana. ML kuna PLEA bargain. SABAYA ameteka, amebaka, amepiga watu misumari, amekata watu masikio, amevamia hoteli na maduka, amelawiti.. Vinginevyo tuelezwe tuhuma nyingine zitaongezwa. Mliokuwa mahakamani, prosecutor kasemaje? Police, act upon!
Huyu akienda jela na hilo sambwanda sipati picha
Domo lile kama ashakum
Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa ndio unaweza kukaa na DPP mezani.Kuteka na kutesa kama mashahidi wapo anatokaje?Kibaya zaidi walinzi wake wakisimamishwa watasema kweli tulikua tunapokea maagizo...
Armed robbery anatokaje?
Na Mwigulu,hatujasahau lile bomu la Soweto kule ArushaMAMA Ukimalizana Na SABAYA Naomba Usimsahau MUSIBA tafadhari Sana.
Ana muda wa kutosha kufanya maombi na kufunga, huenda Baba akarudi!!!jamaa anatamani JPM afufuke hata sahizi
Na wameagizia vumbi la Congo kabisa atachakazwa mbayaHuko kisongo atakutana na wwndawazimu watu waliyopinda aise
Ova
Amuombe askofu Chidi amfufueAna muda wa kutosha kufanya maombi na kufunga, huenda Baba akarudi!!!
Hana tuhuma yoyote ya ubakaji
Upo sahihi kabisa mkuu! Ccm ni mashuatwaini sana, they use you like toilet paper kisha Unakuwa trash!Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Kwanza kwenye hati ya mashitaka hakuna ubakaji halafu hayo yaliyo baki hakuna atakayeweza thibitisha kamwe na Sabaya atashindaNi Martin M.M kupitia Twitter ambapo ameandika haya:
Hati ya Mashtaka ya SABAYA LAINI sana. ML kuna PLEA bargain. SABAYA ameteka, amebaka, amepiga watu misumari, amekata watu masikio, amevamia hoteli na maduka, amelawiti.. Vinginevyo tuelezwe tuhuma nyingine zitaongezwa. Mliokuwa mahakamani, prosecutor kasemaje? Police, act upon!
Huyo msahauni, hatoki. Plea bargain ipo kwenye money laundering tu.
Misumari ya moto na nyundo zake ipo hapo kwenye ;
1. Kuteka na kutesa
2. Armed Robbery
3. Kuendesha genge la kihalifu
4. Rushwa
5. Abuse of power
Huyu msahauni tu. Mwendazake slikua anabemenda watoto wa watu kwa kuwapa nafasi wasizozimudu na wakaanza kuharibikiwa huku akiwachek
Unaweza kuwa sahihi if and only if, H na H watakuwepo hapo milele.Huyo msahauni, hatoki. Plea bargain ipo kwenye money laundering tu.