Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Vipi rekodi ya Mbunge kupigwa risasi akiwa bungeni Dodoma na kunyimwa haki zake za kibunge kwa kumtuhumu kutoonekana katika vikao vya bunge bila taarifa wakati spika anafahamu kuwa alipigwa risasi na yeye binafsi kushiriki kumpakia ndani ya ndege kupelekwa hospitali Nairobi!

Mzee Mgaya anasemaje?
 
Muda huu utakuwa analia sana pale Kisongo na amelala chali maana akilala kifudifudi anaogopa watu wataichana jeans
 
Alikufanyia unyama gani?

Funguka sheria ichukue mkondo wake bwashee!
Ndio maana nimesema peleka unafiki mbali ! Ina maana mlikua hamyaoni aliyofanya ndio leo mjitokeze?

Alipokua anafanya mambo ya ajabu DAB akijua ana backup na ndio huyu bwana mdogo aliendeleza so mkimtia hatiani basi na wengine wafuate
 
Muda huu utakuwa analia sana pale Kisongo na amelala chali maana akilala kifudifudi anaogopa watu wataichana jeans
Aliowaweka ndani huyu weka ndani watamkaribisha.Ndie DC wa kwanza kwenda jela.Pili ile kamati ya ulinzi ya wilaya yote inatakiwa iwajibishwe inakuaje wanamuacha anafanya uhalifu wote ule na huku wakimpa na askari kabisa.
 
Makonda mlisema akitoka tu ofisini labda aishi angani. Huyo hapo tena hata aliekuwa ana mkingia kifua hayupo!

Sabaya atatoka na mtaishia kumwangalia tu
 
Pumbavu kabisa wee Mama na huyo mumeo Mgaya.

Wakati Meko anawaendekeza hawa akina Sabaya na watu wanapiga kelele kuhusu mbovu yake mlikua kimya na hamkuwahi kupaza sauti..
Leo nyee nyee nyee.. pumbavu kabisa.

Asante MUNGU kwa kulifyekelea mbali Li Meko.
 
Bado na yule mwenyekiti wenu wa uvccm mwambieni kabisa ajiandae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…