Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.We na mzee Mgaya tayari mmeshatia hatiani?
Mwacheni aozee lupangoArmed robbery haina Plea
Sadists huwa wanafurahia mateso ya wengine.Hivi Marehemu alikuwa hajui au haambiwi ushenzi wa Sabaya?
Bado mwenzake BashiteApotee kabisa akawe nyapara
Alikufanyia unyama gani?Peleka unafiki huko! Sie tunahitaji rekodi au haki??
Hata akihukumiwa hukumu haitofikia unyama aliofanya !
Mtu kamteua mwenyeweHivi Marehemu alikuwa hajui au haambiwi ushenzi wa Sabaya?
Muda huu utakuwa analia sana pale Kisongo na amelala chali maana akilala kifudifudi anaogopa watu wataichana jeansHata wakijitokeza, kesi ya ubakaji ni pale ukikutwa red handed tofauti na hapo labda awe ni mtoto. Otherwise kesi ya kubaka ni ngumu sana kuthibika, hivyo hata wakijitokeza mashahidi sasa hivi ni kazi bure. Labda ndiyo maana hata TAKUKURU au DPP wameamua kuondoa tuhuma za ubakaji na hapo ndiyo utaelewa kwamba this time they mean business
Mataga woote kazi wanayoItajulikana tu
Atie maji hatuamuachi lzm tumsagie kunguni hii ndo bongoBado mwenzake Bashite
Bado BashiteMwenzake gambo,hapi walibadili gia angani yangewakuta nao
Ndio maana nimesema peleka unafiki mbali ! Ina maana mlikua hamyaoni aliyofanya ndio leo mjitokeze?Alikufanyia unyama gani?
Funguka sheria ichukue mkondo wake bwashee!
Hayo ndiyo maombi ya watanzaniaAtie maji hatuamuachi lzm tumsagie kunguni hii ndo bongo
Aliowaweka ndani huyu weka ndani watamkaribisha.Ndie DC wa kwanza kwenda jela.Pili ile kamati ya ulinzi ya wilaya yote inatakiwa iwajibishwe inakuaje wanamuacha anafanya uhalifu wote ule na huku wakimpa na askari kabisa.Muda huu utakuwa analia sana pale Kisongo na amelala chali maana akilala kifudifudi anaogopa watu wataichana jeans
Makonda mlisema akitoka tu ofisini labda aishi angani. Huyo hapo tena hata aliekuwa ana mkingia kifua hayupo!Huyu bora akutwe na mashitaka akafungwe watu wataridhika akirudi huku uraiani atapotezwa kwasababu wengine aliowagusa nao ma-mafia vile vile...kwakuwa mtetezi wake hayupo watampa shida huku uraiani,hatokuwa na kiburi kama kile kwahiyo watamsurubu tu...
Pumbavu kabisa wee Mama na huyo mumeo Mgaya.Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.
Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.
Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.
Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.
Jumaa kareem!
Bado na yule mwenyekiti wenu wa uvccm mwambieni kabisa ajiandae.Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.
Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.
Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.
Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.
Jumaa kareem!