Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Ndio maana niseme peleka unafiki ! Ina maana mlikua hamyaoni aliyofanya ndio leo mjitokeze?

Alipokua anafany mambo ya ajabu DAB akijua ana backup na ndio huyu bwana mdogo aliendeleza so mkimtia hatiani basi na wengine wafuate
Uvccm wengi wao wanaingia kwenye hilo kundi wakiongozwa na mwenyekiti wao
 
Makonda mlisema akitoka tu ofisini labda aishi angani. Huyo hapo tena hata aliekuwa ana mkingia kifua hayupo!

Sabaya atatoka na mtaishia kumwangalia tu
Ndo kwisha habari yake atakaa ndani 6 yrs hadi ukamilike ushahidi sio leo
 
Hilo la mbowe kuondoka pale kama mbunge ndio kumemletea Sabaya matatizo yote. Na mbaya zaidi waimelikazia hili, kipindi hiki cha rais mpya anayetafuta uungwaji mkono na makundi mbalimbali yakiwemo vyama vya siasa. Ila ukweli utajulikana.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Aliowaweka ndani huyu weka ndani watamkaribisha.Ndie DC wa kwanza kwenda jela.Pili ile kamati ya ulinzi ya wilaya yote inatakiwa iwajibishwe inakuaje wanamuacha anafanya uhalifu wote ule na huku wakimpa na askari kabisa.
Wooote fyekeleeeeeeeeeaaaaaaa mbaaaaaaaaaaliiiiiiiiiiiiii
 
Kwani zaidi ya hapo mnataka nn? Huyu hata asipofungwa hicho alichokipata kinamtosha.
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Tunzo ndo hiyo anaipata mkuu!!
 
Kijana alijisahau sana, alilewa madaraka akidhani atabakia Mkuu wa Wilaya milele, huyu angeshtakiwa tu hata kama Magufuli asingekufa, kesi za jinai zilikuwa zinamsubiri tu.
 
Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anaten
1. Rekebisha uandishi wako. Sema Jiwe ameweka historia ya kuwa Rais wa kwanza kufadhili uovu wa DC aliyemteua
2. Sabaya alijua analolitenda ndiyo maana hajambaka mama yake, hajachukua fdha toka wa mawaziri, makatibu wakuu na watu kama hao.
 
Kweli cheo ni dhamana,
Lakini pia itukumbushe,jinsi ambavyo tutatakiwa kusimama mbele ya muumba wetu siku ya mwisho,
Majina yatakapoitwa siku ya hukumu,kila jambo baya tulilolitenda bila kulitubia litawekwa wazi
na kupata malipo papo kwa papo.
Ni vyema tukaishi humu ulimwenguni kwa hofu ya Mungu na kupendana bila kujali madaraka uliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…