Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Sabaya ambaye alisimamishwa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 13, 2021 kupisha uchunguzi alifikishwa mahakamani hapo akiwa amefungwa pingu na baada ya wote kushuka kwenye magari ya polisi, walitakiwa kuchuchumaa na kisha kupelekwa katika chumba maalum na baadaye kuingizwa mahakamani.

Kwakweli polisi wanatumika vibaya, walikuwa wanampigia salute halali jambazi
 
mjlol.png
 
Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.
Wewe ni mpumbavu mpaka mama yako anajutaa kukuzaa
 
Habari.

Ole Sabaya kwenye vyombo vya habari na mtaani ndio anafunga week na wakati huo huo atafungua week.

Tuzungumze pamoja na yote yaliyotokea juu ya kijana huyu mdogo Ole Sabaya?

Vijana punguzeni hulka ya kupenda kuonekana sana hichi ndicho kilichomkuta kijana huyu mwenzenu.

"Greed for power na umaarufu" haya sasa ndicho alichokipata na atazunguzwa kweli kweli si alitafuta zungumzwa kwenye kika media.

Vijana jifunzeni kwa hichi kidogo msisherekee bila kujifinza kwa huyu kijana. Katika dunia wapo watu wamefanya mambo ya ajabu na deal mbaya mbaya ila ukimya wao umefanya wafiche yote hayo.

Ukiwa mropokaji basi dunia nayo inakuropokea.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) nina uhakika na Yeye akikamatwa ( muda si mrefu kutoka sasa kama aliyeniambia hajanidanganya ) hatoishia tu Kuficha Uso wake bali ataficha pia Makalio yake ( Inye lake Ndembendembe ) na Matege Mbanio yake.
Salama yake akae kimya. Kwa kuwa Hana historia mbaya na MAMA kikombe hiki kinaweza kumuepuka lakini akithubutu kwenda Clauzi (clouds) amekwisha.
 
Bonge la fundisho kwa wateule wote ambao wanapenda "Sifa,kiki,udhalilishaji na unyanyasaji"

Na hasa wale Viongozi wote wasiozingatia mipaka ya madaraka na majukumu yao.

Hii itawakunmbusha viongozi kuzingatia sheria,kanuni na taratibu katika kusimamia utekelezaji shughuli wanazosimamia.

Wengi walipenda kuingilia shughuli za wataalamu na kutengeneza kiki kwa kudhaliliasha watendaji.
 
Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.

Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.

Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.

Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.

Jumaa kareem!
Halafu kuna watu wanamsifu magufuli kwamba ni viongozi safi alikuwa wakati watu wangu kama hasa alikuwa anawalea na kuwapandisha yeo tukitaka tusitake magufuli alikuwa ni Amanda wa vijana waovu wa ccm sasa naamini kwa utawala tulionao waovu wote magufuli aliokuwa akiwakingia kifua watafichuliwa wakiwemo waliompoteza Ben saanane na waliotaka kumuua lissu, mungu ibariki Tanzania.
 
Kutumia vibaya ofisi ya umma ,kura rushwa ya milioni 90? Wizi wa kutumia silaha clip ipo mkuu na walalamikaji wapo,diwani alikuwa anataka kumtetea mwananchi wake ndio genge la sabaya likaamua kumtisha kwa silaha na diwani aliaambiwa aruke kwenye gari akimbie ila alijiongeza maana angekimbia tu wangemlima "njugu".

Sabaya hatoki leo wala kesho....Mashitaka yake ni hatari halafu plea bargain jiwe aliiweka kusudi kwa ajili ya kuwapora mali wafanyabiashara ila mama mambo ya plea bargain fedha za dhulumati hana...Sabaya anakaa ndani tu.
Na "plea bargain" itamtia dosari kwasababu itaonyesha kwenye maisha yake alishakutwa na jinai kwahiyo ndoto yake ya kisiasa itakuwa imekwisha. Labda abebwe kisiasa tu kama Deo Mwanyika ingawa Mwanyika inawezekana alionewa na hakuwa na jinsi.
 
Nashindwa nikuambie nini pimbi wewe.
Hivi aliyokuwa anafanya huyu jambazi kwa Watanzania wenzetu unaona ni sahihi hadi unamlaumu mama? Unamlaumu mama kwa lipi? Yeye ndiye aliyemtuma akapokee rushwa, aunde genge la uhalifu, anyanyese watu, atumie bunduki za serikali kufanya ujambazi na unyang'anyi.
Hili jamaa sijui lilikomea darasa la pili likakalia kuvuta bangi.

Yaani unamkejeli raisi wetu kwa kumchukulia hatua kiongozi muovu na mhuni aliyeaminiwa na chama na serikali kwenda kuwatumikia wananchi badala yake akageuka mtesi?

Na wewe uko CCM? Basi kama na wewe uko CCM,tunatakiwa kuangalia upya utaratibu wa wanachama wetu. Haiwezekani mtu mwenye mawazo ya kutetea watu wa aina ya Sabaya kam wewe na kupingana na serikali mmamuzi ya serikali inayoongozwa na mwenyekiti wa Chama mama samia awe na sifa za kuwa mwanachama. Hapana!
 
Habari.

Ole Sabaya kwenye vyombo vya habari na mtaani ndio anafunga week na wakati huo huo atafungua week.

Tuzungumze pamoja na yote yaliyotokea juu ya kijana huyu mdogo Ole Sabaya?

Vijana punguzeni hulka ya kupenda kuonekana sana hichi ndicho kilichomkuta kijana huyu mwenzenu.

"Greed for power na umaarufu" haya sasa ndicho alichokipata na atazunguzwa kweli kweli si alitafuta zungumzwa kwenye kika media.

Vijana jifunzeni kwa hichi kidogo msisherekee bila kujifinza kwa huyu kijana. Katika dunia wapo watu wamefanya mambo ya ajabu na deal mbaya mbaya ila ukimya wao umefanya wafiche yote hayo.

Ukiwa mropokaji basi dunia nayo inakuropokea.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
Kijana yule wa kimasai ameangukiwa na jumba bovu. Alishindwa kutawala hulka zake akajiona yeye ni ZAKAYO wa moshi na arusha
cc Kichwa Kichafu 🤣 🤣
 
Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.

Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.

Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.

Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.

Jumaa kareem!
Hata babake nae ndio kiongozi pekee aliyekoswakoswa kulambwa fimbo sabini kutoka kwa viongozi wa kimasai baada ya kuleta ujinga wake kwa malaigwanan.

Babake alimuomba Mkapa amuhamishe ndio akapelekwa songea. Ila nyumba waliichoma so it runs in the family.
 
Ben Sanane ndio nani?

mnauana wenyewe mnataka wawajibike wengine?

sasa mnaanza kusema hamkushinda uchaguzi kwa sababu hamukua na wagombea sahihi...

sasa mlichokua mnalalamika ni nini?

Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
Marafiki wa Sabaya bwana! Mma hasira lakini kumsaidia hamuwezi!
 
Back
Top Bottom