Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Sabaya ambaye alisimamishwa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 13, 2021 kupisha uchunguzi alifikishwa mahakamani hapo akiwa amefungwa pingu na baada ya wote kushuka kwenye magari ya polisi, walitakiwa kuchuchumaa na kisha kupelekwa katika chumba maalum na baadaye kuingizwa mahakamani.
Kwakweli polisi wanatumika vibaya, walikuwa wanampigia salute halali jambazi