Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Tukana kwa kichagga ndio nitakuelewa manka...... hahahaaaa!
 
1. Rekebisha uandishi wako. Sema Jiwe ameweka historia ya kuwa Rais wa kwanza kufadhili uovu wa DC aliyemteua
2. Sabaya alijua analolitenda ndiyo maana hajambaka mama yake, hajachukua fdha toka wa mawaziri, makatibu wakuu na watu kama hao.
Bwashee leo una hasira zilizochanganyika na furaha!
 
Na aliyekuwa "Rais wa Dar" (mwenye mkoa wake!) mbona hawamgusi?
 
Hiyo inaitwa cycling tecnical flowback .kwako mwalimu kashasha
 
Kundi lao limesha sambaratishwa
Unaamini anaweza fukua kaburi la kutekwa Dr Ulimboka?! Mimi siamini maana atawagusa wasiogusika.

Hata hii ya wizi wa mafuta bandarini sioni kama kuna utashi wa kulishughulikia.
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Wewe utakuwa ni gaidi
 
Yani kashindwa kujua alituma na yeye kakubali ila Mwendazake, Mungu naomba mnyooshe kinoma.
 
Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.
Kwa hiyo Sabaya anaonewa?,wanamfanyia haya kulipa kisasi?...
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) nina uhakika na Yeye akikamatwa ( muda si mrefu kutoka sasa kama aliyeniambia hajanidanganya ) hatoishia tu Kuficha Uso wake bali ataficha pia Makalio yake ( Inye lake Ndembendembe ) na Matege Mbanio yake.
 
Alikuwa Anatekeleza Maagizo ya Mwendazake
 
Tutakukumbusha Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…