Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha


Wakati walioota ndoto wakisoteshwa miezi rumande bila dhamana mlikumbuka kuikumbusha mahakama kuwatendea haki?

Au huu sasa ndiyo mkuki kwa binadamu?
 
Wala usiumize kichwa ameshatiwa ndani ukitaka kujua ukweli angalia wanachana wa CCM wanao udhulia hapa mahakaman walio upandewake maana hata wajumbe wamemkimbia ndio ujue tayari.
 
We taga tulia.
Sasa ni zamu yenu nyinyi majambazi ambao mikono yenu imejaa damu za watu wasiona hatia kuona cha mtema kuni!

Kuna watu wako mahabusi zaidi ya mwaka,kesi zao zinaendelea kusikilizwa na kauahirishwa,haujawahi kupaza sauti.
Sasa jambazi mwenzio ameingia kwenye 18 za vyombo vya haki unaweweseka!
 

Kwamba hata kwenye uteuzi au maswahiba ya Sabaya mwendazake asihusishwe?

Basi mwendazake yaliwahi kuwa rais wa awamu ya tano.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaogopa kuoga mzee
Oga na vidume wenzako

Ova
 
Hahaha aise nlijua tu
Maana siku ya kwanza ukingia jela
Alafu kama ww nje uraiani ulikuwa unajifanya
Mjuaji lazima ukutane na balaa hilo
Huko unakutana na utawala mwingine

Ova
Huwa wanajuaje...kunakuwa na tv magereza wanaangalia taarifa ya habari?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mleta uzi alianza kudai Sabaya mzalendo hawezi kutenda makosa hayo kama ni kweli aonyeshwe ushahidi.

Akaonyeshwa video.

Akasema ni uongo kama kweli apelekwe mahakamani.

Amepelekwa mahakamani.

Sasa hivi anasema kesi isichukue muda mrefu.

Na hii wish ikiwa granted sijui itakuaje.
 
unaharakisha vyombo vya sheria nchini kufanya kazi unavyotaka ww? ww kama nani?
waache wafanye kazi kwa utulivu bila pressure au matakwa ya mtu yoyote.
 
Umeandika gazeti zima kueleza matatizo ya CHADEMA, nimesoma kidogo, kwa ufupi, CHADEMA wakiacha hayo yote yatasaidia mahakama kuendesha kesi ya Sabaya fasta kama anavyo taka mwana-legasia mwenzako?! Itazuia kina Sabaya kutumia ofisi za uma kama kichaka cha kufanyia ujambazi?!
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
apewe tuzo kwa utov wa nidham?
the way unaelezea is as if kwamba inaruhusiwa kufanya madudu as long anafanyia ccm?
kwamba ccm tu ndio wanaruhusiwa kufanya watakavyo nchi hii na sheria haitowagusa?

hakuna kitu kama hiko. yeye ni mtanzania kama watanzania wengine. sheria ita apply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…