nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Hauna haja ya kuwakatisha tamaa walio ona mema ya sabayaHata ibilisi hakosi wafuasi ,sasa vibarua wa Sabaya mmekosa dili mnatapatapa kweli , vipi ukimfuata jela ukaungane naye ? Utakuwa umemuenzi sana kuliko kupiga kelele humu.
Kwani kuna aliyekuzuia kufanya hivyo,pia mahakama pekee ndio ya kuthibitisha tuhuma zake,hivyo kuwa mpole ndugu mbivu na mbichi zitakuwa hadharani pindi shauri likiamuliwa.Hivyo kelele za kulalama hazina masada kwa sasa.Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
Sasa kwanini mlikubali kutumiwa na Sabaya kutesa watu na kufanya ujambazi wa kutumia silaha za moto?Na wanaomchafua ni genge la wezi kutoka uchagani.
Kama ushahidi upo, peleka mahakamani,Sasa kwanini mlikubali kutumiwa na Sabaya kutesa watu na kufanya ujambazi wa kutumia silaha za moto?
Yule Kamanda aliyemwambia mwenyekiti kuwa hawezi kushinda hata iweje, tunaomba aunganishwe kwenye hii kesiMwenye Majina ya Mawakili wote 'wanaomtetea' Ole Sabaya naomba aniwekee hapa tafadhali kwani Kesho naenda Kumtembelea 'Mtaalam' wangu wa ' Kipemba ' ili ikiwezekana wawe Vipofu au Wehu na ikiwezekana wawe Mashoga au sehemu zao za Siri Kupotea na Haja zao Ndogo na Kubwa watakuwa wanazitolea Midomoni na Masikioni mwao daima.
Na huyu 'Mtaalam' huwa hatanii kabisa.
Sasa wewe unamtetea hapa badala ya kwenda mahakamani? Kwani sisi hapa JF ndio tumemrusha kichura na mapingu juu?Kama ushahidi upo, peleka mahakamani,
Unachokifanya hapa ni kujaribu kutisha watu
Mahakama ikimkuta na hatia, hata mimi hutoniona namtetea.
Mzee utaumiza tu kichwa chako kubishana na hii misukule isiyo jitambua. Mtuhumiwa amefikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai, na yasiyo na dhamana baada ya kupitisha wao wenyewe sheria kali ya uhujumu, kutakatisha fedha na kuendesha genge/magenge ya uhalifu!Sasa wewe unamtetea hapa badala ya kwenda mahakamani? Kwani sisi hapa JF ndio tumemrusha kichura na mapingu juu?
Mwambie huyu Jambazi la kutumia silaha. Anakuja kulilia lia hapa, oooh! Sabaya. Anataka sisi tumsaidie toilet paper? Alipaswa kuinunua kabla hajaenda haja.Ni haki yako kuwepo huko Arusha ili uwe unampikia na kumpelekea chakula huyo mume wako. Maana kwa ule umayai wake, hataweza kula ugali jela!
Ungekuwa na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke, usingepata huu muda wa kumlilia mwanaume mwenzako.
Wanaume tulio kamilika hatuna ujinga kama huu wa kwako.
Oh hivi ushapona kwanza?Ni haki yako kuwepo huko Arusha ili uwe unampikia na kumpelekea chakula huyo mume wako. Maana kwa ule umayai wake, hataweza kula ugali jela!
Ungekuwa na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke, usingepata huu muda wa kumlilia mwanaume mwenzako.
Wanaume tulio kamilika hatuna ujinga kama huu wa kwako.
It's Sabaya vs Wezi,Mwambie huyu Jambazi la kutumia silaha. Anakuja kulilia lia hapa, oooh! Sabaya. Anataka sisi tumsaidie toilet paper? Alipaswa kuinunua kabla hajaenda haja.
Wewe endelea na maandalizi ya kumhudumia Sabaya. Sisi hela yote hata ya kumnunulia toilet paper tu alikuja kutuibia na kile kikosi cha uhalifu ambacho wewe ulikuwa mmojawapo.Tulia we nyumbu, Sabaya anatetewa kama nyinyi wezi mnavyoteteana.
kwa hiyo unataka sisi hapa JF tukusaidie nini?It's Sabaya vs Wezi,
Sabaya atatetewa hadi pale mtakapokua na ushahidi wa kumuweka hatiani.
Wewe ndio mmiliki wa Jf?kwa hiyo unataka sisi hapa JF tukusaidie nini?
unataka mmiliki wa JF akusaidie nini?Wewe ndio mmiliki wa Jf?
Unataka mmiliki wa JF akusaidie nini?Wewe ndio mmiliki wa Jf?
Teh teh nyumbu bhana, em tulieniKumbe ndio kilichokuleta Arusha! Huoni hata aibu kujisema hadharani ulichofuata Arusha!