HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hizo kesi nyingine ni geresha maana atazilipia fine, kwenye Armed ndo nguvu ilipoOne of the very close person to our family amekwenda 30 kwa armed robbery
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kesi nyingine ni geresha maana atazilipia fine, kwenye Armed ndo nguvu ilipoOne of the very close person to our family amekwenda 30 kwa armed robbery
Kukosekana kwa hili shitaka ni wazi kabisa Sabaya ana kwenda kuwabwaga mahakamani maana hivi kweli watu watumie silaha kuiba simu na elfu 35,000 hahahaha
May be he was assassinated by Satan not human beingMajasusi uchwara wa mitandaoni walimuandama sana huyu Sabaya.
Seems like there is a power struggle after the death of John Pombe Joseph Magufuli (the allegedly assassinated president).
Majitu yanatifuana tu huko Tanzania!
Inawezekana vipi shutuma za Twirrah ziwe ndio msingi wa mashtaka?
Any lunatic can say anything on internet!
Inawezekanaje mahakama ikawa ni chombo cha kupeleka mashtaka ya wendawazimu wa mitandaoni?
Ujinga mtupu!
Unataka kusema haya machozi ndo yamemponza?
yule alitembeza bakora mbeya, malipo yake ni kama hakutembezewa bakora na mkewe, basi nae akae mkao wa kulipwa.Aliyetembeza bakora Mbeya kapelekwa kwenye jiji kubwa zaidi, Mwanza.
Unakumutwa wewe. Basi mfuate huko mahabusu mkaolewe wote.Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Auae kwa upanda atauwawa kwa upanga ndio shart lake sio sisi ndio vitabu vinavyosema!Tulia Mungu ajidhihilishe kwa ubaya kama alitenda!Kama hakutenda upanga utarudi na fidia atapata.Kuwa mpole ni mtuhumiwa bado.Kwa kifupi serikali aitakiwi kuwa na tabia za kusutana, kumuonyesha kiongozi kwa namna hiyo ni kama inashabikia ushambenga huku wakijua Sabaya katika nafasi yake alijitengezea maadui wengi kwa sababu mbalimbali (zingine hizo hasira za watu wana haki nazo).
Kitendo cha kumshitaki ni salamu tosha kwa wengine kuna kesho, ila kudhalilishana ni unnecessary.
Asilimia kubwa ya post za humu ni moja sababu mahususi kwanini mtuhumiwa apewe walau heshima au kama atakutwa katika hali ukiya udhaifu iwe kwa bahati mbaya.
Lakini kitendo cha serikali yenyewe kutengeneza mazingira ya kudhalilisha mahabusu ambae alikuwa kiongozi na katika muda wake wa uongozi ametengeneza maadui wa kisiasa ni unethical to say the least.
Anyway huo ndio mtazamo wangu ata angekuwa ameshitakiwa Mbowe, ningetaka apewe heshima yake sio kumuweka kwenye mazingira ambayo baadhi ya wana CCM watumie picha kumdhalilisha.
Baada ya kusema hayo simlazimishi mtu kukubaliana na mtazamo wangu, maana kuna mijitu imeshaanza kunitukana khaa, kwani watu atuwezi pishana mitazamo bila ya matusi. Mijitu mengine sijui ikoje.
Ni swali tu nimeuliza sio kwa nia mbayaHata ukitukana kama ikithibitika,jela halali yake,muombee tuu.
Watu washaanza kumuandalia kitanda chake jela 😂Bashite na wasiojulikana nao lini
Rugemalila na Habinder Sing Seth na wengine ambao hupelekwa mahakamani, huchuchumaa hivyo baada tu ya kutelemka kwenye gari na wakati wa kurudishwa rumande kabla ya kupanda gari. Mtuhumiwa ukiwa hauko kwenye motion (hutembei) unachuchumaa, hiyo ni kuimarisha ulinzi watuhumiwa wasikimbie. Watu wakiwa wamechuchuma hawawezi kukimbia. Mtu utakaye anza kusimama wakati uko kwenye amri ya kuchuchumaa utaonekana kwamba kuna jambo unataka kulifanya kuliko mkiwa mmesimama siyo rahisi kumgundua mtu mwenye nia ya kukimbia.Hii Kuchuchumaa pia ipo kwenye sheria ?
Sio kwamba namtetea jamaa ila two wrongs does not make a right...., Huyu Jamaa adhibitiwe na kuhukumiwa kisheria na ikibainika sio tu kwamba achuchumae hata kama sheria inasema apigwe bakora na apigwe..., ila kabla ya hapo nadhani hii ni wrong precedent
Lakini atakuwa amejifunza msemo wa wahenga kwamba cheo ni dhamana na kile kiapo ni cha muhimu!Mungu anaona.Kama kawaida naona watu wengi wanashangilia Sabaya kufikishwa Mahakamani. Inawezekana Kitakachoendelea au Mwisho wake ukawashangaza wanaoshangilia sasa.
Upo sawa kabisa,nilivyosikia timu ya Magu nayo inajipanga kuingia mzigoni,kwa hiyo vita itakuwa kati ya Kikwete na wafuasi wa Magu ngoja tuoneUnataka kusema haya machozi ndo yamemponza?