Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Watesi walikua wengi sana Sio Huyu Tu..Mama Wanyuke Wote yupo Katibu Mkuu pale Ujenzi kwa kwelk alitesa watu sana Bwana Malongo.

Alinyanyasa watu wengi na kuwaumiza wana kwa kutumia madaraka yake Vibaya..
 
Tayari kwa sababu kaenda jela kuolewa mmeshamgeuka kada mwenzenu wa Lumumba ?
 
Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.
Sabaya ni jambazi, uko ccm watu wamefurahi kupita maelezo
 
Swali langu lilikuwa hili

Weka hapa hayo maandishi mawili wana JF wayachambue....
Mpumbavu ni wewe niliyekuuliza swali rahisi badala ya kujibu ukaporomosha matusi....

Pathetic fool
Ukiona mtu hataki upumbavu kaa kimya only fact ndo ufungue bakuli
 
...

...Ni jambazi kweli, unakuwa na mkuu wa wilaya asiyefuata Sheria, na mporaji
Mahakama haijathibitisha bado kama Sabaya ni jambazi au la. Mpaka sasa yeye ni mtuhumiwa tu.
He is innocent until proven guilty. So let's just wait for the judiciary to decide.
Wekeni akiba ya maneno, hukumu yake inaweza kuwashangaza mkakosa ya kuongea.
 
Leo serikali imeruhusu rasimi Chanjo kuanza kutumika Tanzania lkn kwa akili kubwa watawala wakaona isiwe nongwa kutukanwa mitandaoni na kuhojiwa hojiwa ikabidi liingizwe hili suala la SABAYA kiukweli hakuna aliyethubutu tena kulipa kipaumbele suala la Kuruhusu Chanjo leo wengi wao wamejikita kufuatilia suala la SABAYA

Kingine ambacho kina mlengo wa SABAYA ambacho wapinzani uchwara hawajakijua ni kwamba SABAYA ni mkakati wa kisiasa kuiangamiza CHADEMA na kuibua upinzani na muda si mrefu Tundu Lisu wakishirikiana kwa karibu kabisa na NYALANDU atakuwa mtetezi wa SABAYA na hapo Tundu Lisu atatangaza kuhamia ACT WAZALENDO ya Zito kabwe itakayombeba SABAYA na wanasiasa wengine wenye msimamo wa kijamaa kutoka CCM haya Mambo hayaji kwa bahati Mbaya ni mojawapo ya mbinu 100 ya CCM
 
Wakati mnajipa moyo mbulula nyinyi kumbukeni mwenzenu usiku huu yuko kisongo na kwa hakika usiku wa leo hatapata hata lepe moja la usingizi. Katika mambo yatasumbua akili yake ni kujiuliza kwanini JPM alikufa! Hatapata jibu hapa na matokeo yake hatalala

Hebu acheni kujitungia ujinga wa kujipa moyo. Laleni kwa kutulia mjichange muwekeane zamu za kupeleka chakula kisongo. Acheni theory za kijinga hizo hazitawasaidia
IMG-20210604-WA0083.jpg
 
Leo serikali imeruhusu rasimi Chanjo kuanza kutumika Tanzania lkn kwa akili kubwa watawala wakaona isiwe nongwa kutukanwa mitandaoni na kuhojiwa hojiwa ikabidi liingizwe hili suala la SABAYA kiukweli hakuna aliyethubutu tena kulipa kipaumbele suala la Kuruhusu Chanjo leo wengi wao wamejikita kufuatilia suala la SABAYA....
Kila siku hua nasema Sabaya ni Target ya serikali.
Yaani hapo wanalo jambo lao
 
Back
Top Bottom