Arusha: Machinga apigwa na Mgambo usiku huu hali yake ni mbaya, polisi watanda

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Machinga mmoja ambae hadi sasa hajafahamika jina lake amepigwa vibaya na mgambo wa jiji la Arusha na hali yake inasemekana ni mbaya.

Adha hiyo imetokea mida hii ya usiku baada ya kutokea mabishano kati ya Mgambo Na machinga na hivyo Kupelekea machinga huyo kupata kipigo Kikali kutoka kwa mgambo wa jiji hali iliyopelekea kujeruhiwa vibaya na hivyo kukimbizwa kwenye Hospitali ya Ngarenaro iliyopo jijini hapa.

Wananchi wamejazana nje ya geti la Hospital wakilia na wengine wakitaka kuwaua mgambo hao ambao wamefichwa ndani ya jengo la Hospital hiyo.

Hali hiyo imepelekea polisi kuja kutuliza ghasia usiku huu.
 
Hospital ya Ngarenaro ndio ipi hiyo?
 
Back
Top Bottom