Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Habari za kichochezi hizi kuchochea chuki za kidini kuna ulazima gani kusema masheikh!! Ingesemwa waliolipua bomu kanisani na kuua inatosha.
Kwanini wasiitwe kwa vyeo vyao? Kama ingekuwa Mchungaji amebaka ingeandikwa "mchungaji flani abaka" au "wachungaji waua waumini"

Hawa ni Masheikh Magaidi wa muda mrefu
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Kwanza kwanini ulipuwe?? Neno kulipuwa ni kumaanisha kuua sasa na sisi tunakupereka kwenye hiko kifo kama ni kitamu basi karibu kushiriki.........wasiponyongwa mpaka kufa basi watakuwa wameonewa pia.......maana walitaka kufa pia
 
Wasamehewe.
Kama walilipua kanisa na hakuna mtu aliyefariki hiyo ni hukumu ya Allah.

Waachie, miaka kumi wako kifungoni imetosha.

Yaani Rais amesaini hicho kitu?

Wale Waheshimiwa wawasaidie kukata rufaa.
 
Miaka kumi halafu tena kunyongwa. Wangewapa hata miaka mingine kumi kisha wawaachie tu. Kama ckosei wakati ule nilimsikia Cardinal Pengo akisema lile tukio amehakikishiwa na mtu mkubwa ndani ya serIkali kuwa sio la kigaidi ila........ Cjui lakin
 
Kanisa katoliki Olasiti nakumbuka sanaa khaaa....walikuja kasi sana kipindi kile
 
Back
Top Bottom