Nia Yao ilikuwa nini,je ingefanikiwa Kwa asilimia zote!Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nia Yao ilikuwa nini,je ingefanikiwa Kwa asilimia zote!Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Aisee,wangapi!?Hao wengi ni wanaasili ya kisomali
Ni ushabiki au unaongelea Sheria ?Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Ndiyo,nilipata High Court Arusha jana jioni,nikamuona yule mama analia( amevaa bai bui),nikauliza analia nini?SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha.
Masheikh hao wanatuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi wa kulipua Kanisa Katoliki la Ole sita mkoani Arusha mwaka 2013.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Nkwabi aliwaachia huru Masheikh watatu ingawa mmoja miongoni mwao amerejeshwa jela kwa sababu ya kukabiliwa na tuhuma nyingine.
Walioachiwa huru ni: Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani).
Aidha Jaji Nkwabi alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh sita katika shauri hilo akiwemo imamu mkuu wa Msikiti mashuhuri Masjid Quba Arusha, Sheikh Jaafar Hashim Lema waliripua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa.
Kwa sababu hiyo Jaji Nkwabi aliamua kuwahukumu adhabu kali ya kunyongwa mpaka kufa.
Masheikh hao waliokaa gerezani kwa zaidi ya miaka kumi na hatimaye kuhukumiwa kifo ni:
1. Imam Jaafar Hashima Lema.
2. Yusuf Ali Huta
3. Ramadhani Hamadi Waziri.
4. Abdul Hassa Masta.
5. Kassim Idrisa. Na-
6. Abashari Hassan Omari.
Masheikh hao pamoja na wenzao kumi walio hukumiwa kunyongwa hivi karibuni mkoani Tanga, watanyongwa baada ya Rais Samia Suluhu Hassani kutia saini.
Pia, soma;
Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa
Kwanini hawajaenda kulipua msikiti wao mpaka waende kulipua kanisa. Hakuna huruma kwa Islamic terrorismKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Nia yako nicheke msibani nionekane mchawi sio😂😂😂😂😂😔Wamevuna walichopanda.
Nashangaa Sasa mbona nyie waislamu hamtaki Hawa sita wanyongwe haraka wakafaidi mabikra?
Kwanza ukame waliokaa nao kisongo kwa miaka kumi Ni mkubwa, wengine watakojoa hata kabla ya kuigusa bikra ya kwanza.
Duh!
Hawa waliua muimba kwaya kwa bomb la kurushwa kwa mkono. Watu kadhaa hawakufariki hapo hapo.SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha.
Masheikh hao wanatuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi wa kulipua Kanisa Katoliki la Ole sita mkoani Arusha mwaka 2013.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Nkwabi aliwaachia huru Masheikh watatu ingawa mmoja miongoni mwao amerejeshwa jela kwa sababu ya kukabiliwa na tuhuma nyingine.
Walioachiwa huru ni: Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani).
Aidha Jaji Nkwabi alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh sita katika shauri hilo akiwemo imamu mkuu wa Msikiti mashuhuri Masjid Quba Arusha, Sheikh Jaafar Hashim Lema waliripua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa.
Kwa sababu hiyo Jaji Nkwabi aliamua kuwahukumu adhabu kali ya kunyongwa mpaka kufa.
Masheikh hao waliokaa gerezani kwa zaidi ya miaka kumi na hatimaye kuhukumiwa kifo ni:
1. Imam Jaafar Hashima Lema.
2. Yusuf Ali Huta
3. Ramadhani Hamadi Waziri.
4. Abdul Hassa Masta.
5. Kassim Idrisa. Na-
6. Abashari Hassan Omari.
Masheikh hao pamoja na wenzao kumi walio hukumiwa kunyongwa hivi karibuni mkoani Tanga, watanyongwa baada ya Rais Samia Suluhu Hassani kutia saini.
Pia, soma;
Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa
Jaji Nkwabi alietoa hukumu ya kunyongwa ni Muislamu sio Mkristu kwa hio na Jaji nae ni kafr hawapendi waislamuhakuna kafir amewahi kumpenda Muislam hata siku moja hilo inatakiwa lifahamike wazi
Walikamatwa wengi Mkuu, hadi mashoe shine.
Aisee ndio umeshahamia Arusha sasa..Ndiyo,nilipata High Court Arusha jana jioni,nikamuona yule mama analia( amevaa bai bui),nikauliza analia nini?
Nikaambiwa( na machinga mmoja alikuwepo pale,"Oh,hii ni mahakama. Kama analia itakuwa basi labda mtoto wake amehukumiwa kifungo or something. Unajua,kina mama wana huruma sana"
Halafu nikaondoka pale. Ilielekea kwangu kwamba wahudumu pale mahakamani,wale walinzi, hawakuonyeshwa kupendezewa kwamba nimeuliza.
Ni kama Roman law. Kama mhalifu amehukumiwa,unaruhusiwa kushangilia,lakini hairuhusiwi kuonekana kwamba unaona huruma.
Pumbavu, nia ya kulipua pekee ni uovu mkubwaKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Samia sio Magufuli, aliyekuwa akiachia walawiti na wauaji na kuwaita ikuluSubiri Uhuru Day awaachie huru sahau kuhusu hilo la kunyongwa hawezi kutia Saini hata awekewe mtutu wa bunduki kichwani
Atakwambia watatu 3...wameshazoea kuua mamia ya watu..hawa magaidi wanawachafua sana wenzao wengine wenye kumjua Mungu...Kwa hoja ile ya Covax, hii post yako imemdhalilisha sana...!!! Inaonyesha aliandika bila kuwa na data yoyote. Yaani yeye kafuata hisia zake tu na si uhalisia. haya arudi hapa aseme akama bado anaona wameonewa au ni haki yao kupata hiyo hukumu..!!
Hata kama wasingekufa hata mmoja, adhabu yao bado ilistahili kuwa kifo, maana walilenga kuuaKwa hoja ile ya Covax, hii post yako imemdhalilisha sana...!!! Inaonyesha aliandika bila kuwa na data yoyote. Yaani yeye kafuata hisia zake tu na si uhalisia. haya arudi hapa aseme akama bado anaona wameonewa au ni haki yao kupata hiyo hukumu..!!
Kwa maelezo hayo uliyoyatoa kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa ni uwonevu. Hakimu atakuwa ametoa hukumu kwa chuki zake za kidini kwasababu ktk maelezo uliyoyatoa, hakuna mtu hata mmoja aliyekufa wakati wa kulipia hilo kanisa na hii inaonyeaha kwamba walipuaji walihakikisha hakuna mtu ndani ya kanisa wakati wa ulipuajiSHURA YA MAIMAMU TANZANIA