ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Itageuka Ki-biti na watu watakimbia wenyewe
 
Tumia akili sio

Tumia akili zako sio kushabikia kila ujinga ; use your common sense. Wewe hata akikubaka utasema "atakuwa na sababu zinazoeleweka "

Sasa umeandika upuuzi gani nawe unajiita GT...duh!!!! Jisikitikie
 
Rambirambi wanataka wazifanyie mradi? Huh...! Sijaona logic ya kwenda kuwakamata wanahabari
 
Huyu Gambo ameanza kuchanganyikiwa, hivi hajui kuwa anasababisha watu wazidi kuichukia Serikali, akili za kibashite hizi
Hii inadhihirisha udhaifu wa mamlaka ya uteuzi, zamani ma rc walikuwa watu wenye heshima zao, awamu hii hata wahuni wavuta bangi ni ma rc
 
Zamani kulikuwa na mkulima tajiri kule Iringa alikuwa anaitwa Mwamwindi. Mwenye historia yake atukumbushe.
Mtu duni kama gambo atadhibitiwa kirahisi tu , hana uwezo wowote zaidi ya kujibanza ubavuni mwa polisi dhaifu wasiojua sheria , hakuna haja ya kutumia mbinu ya mwamindi
 
Nasubiri Chato International Airport itakavyokamilika na rambirambi zetu.
 
Mkusanyiko bila kibali ndani ya shule yake kweli how comes eeeh hivi hawa WAKUU wa mikoa wanafikilia kwa kutumia nini
Tatizo ni kuwa qualification kuu ya kuwa RC ni ONLY kujua kusoma na kuandika!

Matokeo ndiyo haya maamuzi ya dizaini hii.....
 
Huo uonevu wa kijinga jinga haujengi Nchi bali unaendelea chuki dhidi ya Utawala wa wa CCM kuwatumia polisi wasio na vyeti kuwanyanyasa Wapinzani kwa visingizio vya kijinga jinga
 
Kwenda kutoa pesa za rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa ni kosa la jinai ambalo halina dhamana? huu upuuzi kiwango cha lami.
Hakuna kosa kwenda kutoa pole bali RC wa Arusha ni Limbukeni mkubwa anafanya Udikteta lakini siku zake za kuwaonea Wapinzani zinaelekea mwisho.
 
Mrisho Gambo ni mungu wa Arusha , ana nguvu kuliko yesu kristo.
Hahahahaha.. yaani wewe nikizisoma msg zako huwa ncheka sana siyo kwa furaha bali kwa uchungu... Hivi huwa una memory fupi sana mwaka jana uliandika hapa Mrisho Gambo ana siku chache sana kubakia Arusha na atashindwa kama walivyoshindwa wengine kwani mfalme wa Arusha ni kiLema. Sasa naona umeshampa cheo cha Mungu leo Mrisho Gambo.​
 
Wakati majiran wakifikili juu ya maendeleo ajabu arusha wanawaza wawaondoaje chadema nazani ni Sera ya ccm kuhakikisha chadema hawanaga aman.
 
Tatizo ni kuwa qualification kuu ya kuwa RC ni ONLY kujua kusoma na kuandika!

Matokeo ndiyo haya maamuzi ya dizaini hii.....
Ni kweli wale ma-RC wenye Upeo zero wengi ni wajinga wajinga kama huyo RC wa Arusha.
 
Wewe nikikutafsiri nashindwa kuvuta taswira ambayo inaweza kukufaa, akili umeamua kuitupilia mbali kabisa na unaanza kutumia utashi wa mnyama ambaye hajui huyu ni mama yake au mwanae yeye.
Muda ndio jibu!!!
Hebu fafanua,umekusudia nini?
 
RC wa Arusha ni bonge la limbukeni hana jipya ni mshamba fulani na sasa ujinga wake utamgharimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…