Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Na Mimi nashangaa kwa nini mko hivyo? Hebu lianzisheni na taifa lijue mpuuzi ni Nani katika mambo hayo. Mbona dakika 10 tuu zinatosha kupeleka salamu!Wanaume wa Arusha mmekuwaje siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi nashangaa kwa nini mko hivyo? Hebu lianzisheni na taifa lijue mpuuzi ni Nani katika mambo hayo. Mbona dakika 10 tuu zinatosha kupeleka salamu!Wanaume wa Arusha mmekuwaje siku hizi?
Itageuka Ki-biti na watu watakimbia wenyeweGambo anaishi na kufanya shughuli kwa wasiwasi kwa wasiwasi kuliko swala aliyezungukwa na mifisi. Upinzani haudhibitiwi kwa namna hiyo bali kwa hoja za kuwashawishi wananchi. Gambo atakuwepo hadi kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 na hivyo watu wa Arusha nawashauri muanze kutengeneza mikakati tofauti ya kuhakikisha ushindi. Tutashuhudia Lema akiswekwa ndani, madiwani wakiswekwa ndani, Kampeni kupigwa marufuku kwa njia ya kutotoa vibali vya mikutano, wanajeshi na polisi kusimamia uchaguzi na mawakala kutoruhusiwa kuingia kushuhudia kura kuhesabiwa ili kuruhusu njia nyeupe kwa watu wa CCM kushinda . Huu ni utabiri wangu kwani dalili siyo nzuri kuna ushindi wa kulazimisha kwa kulazimisha kukubalika kwa chama kilichokataliwa na idadi kubwa ya wananchi kuendelea kutawala
Tumia akili sio
Tumia akili zako sio kushabikia kila ujinga ; use your common sense. Wewe hata akikubaka utasema "atakuwa na sababu zinazoeleweka "
Hii inadhihirisha udhaifu wa mamlaka ya uteuzi, zamani ma rc walikuwa watu wenye heshima zao, awamu hii hata wahuni wavuta bangi ni ma rcHuyu Gambo ameanza kuchanganyikiwa, hivi hajui kuwa anasababisha watu wazidi kuichukia Serikali, akili za kibashite hizi
Mtu duni kama gambo atadhibitiwa kirahisi tu , hana uwezo wowote zaidi ya kujibanza ubavuni mwa polisi dhaifu wasiojua sheria , hakuna haja ya kutumia mbinu ya mwamindiZamani kulikuwa na mkulima tajiri kule Iringa alikuwa anaitwa Mwamwindi. Mwenye historia yake atukumbushe.
Tatizo ni kuwa qualification kuu ya kuwa RC ni ONLY kujua kusoma na kuandika!Mkusanyiko bila kibali ndani ya shule yake kweli how comes eeeh hivi hawa WAKUU wa mikoa wanafikilia kwa kutumia nini
Huo uonevu wa kijinga jinga haujengi Nchi bali unaendelea chuki dhidi ya Utawala wa wa CCM kuwatumia polisi wasio na vyeti kuwanyanyasa Wapinzani kwa visingizio vya kijinga jingaMeya wa Arusha, Kalist Lazaro na madiwani wawili wamenyimwa dhamana. Hapo awali waliambiwa dhamana ipo wazi na kuanza taratibu za kuwadhamini. Huenda kesho wakafikishwa mahakamani wakikabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko bila kibali .
Wanaoshikiliwa wengine ni Inocent Kisanyage ambaye ni Katibu wa Mbunge Lema,diwani wa kata ya Olasiti mh. Alex Martin na diwani wa kata ya Muriet mh. Credo Kifukwe.
Hakuna kosa kwenda kutoa pole bali RC wa Arusha ni Limbukeni mkubwa anafanya Udikteta lakini siku zake za kuwaonea Wapinzani zinaelekea mwisho.Kwenda kutoa pesa za rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa ni kosa la jinai ambalo halina dhamana? huu upuuzi kiwango cha lami.
Mrisho Gambo ni mungu wa Arusha , ana nguvu kuliko yesu kristo.
Ni kweli wale ma-RC wenye Upeo zero wengi ni wajinga wajinga kama huyo RC wa Arusha.Tatizo ni kuwa qualification kuu ya kuwa RC ni ONLY kujua kusoma na kuandika!
Matokeo ndiyo haya maamuzi ya dizaini hii.....
Anajihenyesha mwenyewe, anazidi kujijengea chuki bila sababu. Akubali asikubali atakimbia mwenyewe(WAOVU HUKIMBIA PASIPO KUFUKUZWA)Gambo anawaenyesha balaa Arusha.
Hebu fafanua,umekusudia nini?Wewe nikikutafsiri nashindwa kuvuta taswira ambayo inaweza kukufaa, akili umeamua kuitupilia mbali kabisa na unaanza kutumia utashi wa mnyama ambaye hajui huyu ni mama yake au mwanae yeye.
Muda ndio jibu!!!
RC wa Arusha ni bonge la limbukeni hana jipya ni mshamba fulani na sasa ujinga wake utamgharimuHahahahaha.. yaani wewe nikizisoma msg zako huwa ncheka sana siyo kwa furaha bali kwa uchungu... Hivi huwa una memory fupi sana mwaka jana uliandika hapa Mrisho Gambo ana siku chache sana kubakia Arusha na atashindwa kama walivyoshindwa wengine kwani mfalme wa Arusha ni kiLema. Sasa naona umeshampa cheo cha Mungu leo Mrisho Gambo.
Arusha wanapelekwa pelekwa kama watoto na huyo boya.....huo upuuzi aupeleke mwanza au mbeya akaone moto.