ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana


Maiti zote zinazikwa porini Hakuna maiti inayozikwa ndani ya nyumba,labda kwenye nyie mliyelaaniwa kwa kula Rambirambi za wafiwa.
 
Gombo atapoteza heshima yote aliyojijengea
 

Jifunze kuandika kwanza ndio uje kuchangia hapa jukwaani.
 
meya si kama DS anachaguliwa na mkulu. uache uongo meya ni diwani na diwani amechaguliwa na wananchi kufikia udiwani badala ya hapo ndio anagombea umeya ila anatokana.na wananchi hakuna mfumo wa kutoka nje kama bungeni.
 
Kwenda kutoa pesa za rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa ni kosa la jinai ambalo halina dhamana? huu upuuzi kiwango cha lami.

Mmemdekeza sana huyo mla Rambirambi wa JPM.
 
Watu wanakufa Kibiti huko, nyie mnadili na wanaotoa rambi rambi...
 
Hao wanasiasa ni kawaida yao kwenda hapo kipindi cha nyuma au wanatumia majanga kwa manufaa yao binafsi?
 

Huyo kaisha laaniwa na kula Rambirambi za wafiwa na kutembea na wake za watu.

Ni pale unapoteua Kiongozi ambaye alishafukuzwa kazi kwa kosa la kutokuwa na nidhamu kazini basi watakuwa kama.punguani.Gambo alishafukuzwa kazi hapo Korogwe kwa kosa la kutukana wakili wa Serikali matusi ya nguoni.Ukiona Rais anateua mtu kama Gambo.basi tabia yake ni kama ya Gambo.
 
RC wa Arusha ni bonge la limbukeni hana jipya ni mshamba fulani na sasa ujinga wake utamgharimu
Hahahahahhaa naona povu jingi kama sabuni ya mbuni..Pole sana kaka utazowea tu mwanzo maumivi yanakuwa makali lakini baadae mauvimu yana chnge tu raha..
 
maccm kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa then jion buk 7 ya mboga
 
Hahahahahhaa naona povu jingi kama sabuni ya mbuni..Pole sana kaka utazowea tu mwanzo maumivi yanakuwa makali lakini baadae mauvimu yana chnge tu raha..

Unapofurahia sababu Mwanachama au Kiongozi wa Upinzani amelela mahabusu basi jiangalie usije Ukawa Nape au Malima siku moja.
 
Unless agenda ni kukomoa tu wananchi, Gambi anapoteza muda na nguvu bure. Arusha wameshaikataa CCM kabisa.
 
Maiti zote zinazikwa porini Hakuna maiti inayozikwa ndani ya nyumba,labda kwenye nyie mliyelaaniwa kwa kula Rambirambi za wafiwa.
Tetty hujanielewa. Ukiisoma post yangu utaelewa kuwa mimi na wewe tunamshambulia mla rambirambi ila wewe unamshambulia kupitia kwangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kiongozi mmoja wa dini badala ya kuhojiwa yeye ndie ulikua anamhoji askari alimhoji askari ni idadi gani ya watu itahitaji kibali kamjibu watu 5 akamwambia kwahiyo nikiwa na familia ya watu 7 niombe kibali wakati wakula? Askari kakosa jibu nikipata wageni nyumbani niwe na kibali nikiwa na dua nyumbani kwangu niwe na kibali askari alikosa majibu mwisho alimuambia kuna watu tunawatafuta sio nyie
 
Mrisho Gambo ni mungu wa Arusha , ana nguvu kuliko yesu kristo.
Ndugu yangu unayemdhihaki Yesu Kristo aliye hai sisi hatutakuhukumu bali Muumba wako atakuhukumu peke yake na ninaamini hivyo. AMEN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…