Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
We mwenyewe mpuuzi. Kwenu mnatupaga maiti porini halafu mnahama na hamrudi tena huko? Wastaarabu huenda kuhani msiba kwa wafiwa. Hii ni jadi. Endeleeni tu ushetwaini wenu huu mnajifanya kuchapa kazi na laana. Mnadhani mnasonga mbele kumbe mnarudi tu nyuma. Mnatonesha vidonda vya wafiwa bure tu. Na mtalaaniwa.
Maiti zote zinazikwa porini Hakuna maiti inayozikwa ndani ya nyumba,labda kwenye nyie mliyelaaniwa kwa kula Rambirambi za wafiwa.