ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Ni kweli mkuu,lakini nadhani wenye uwezo wa kushawishi mabadiriko hayo ni polisi wenyewe,kwasababu ndio wanachonganishwa na raia kila mara.
Ndiyo maana kwa mimi, hajawai kufa polisi/mapolisi nikaumia! Najua hata Mimi Nitakufa siku yoyote niliopangiwa na Mwenyeenzi Mungu.
 
Kweli hali sijui tunaelekea wapi, hawa viongozi wa dini ,walienda kutoa rambi rambi huko LUCYVICENT kwa mfumo upi mpaka wakakamatwa?
 
Kutoa rambirambi inahitaji mfumo gani?
Unamtafuta mfiwa unamkabidhi rambirambi basi umemaliza.
Huko Arusha watoa rambirambi walitumia shule iwasaidie kuwakusanya wafiwa, mkuu wa mkoa anasema hiyo ni siasa!
 
Hawa viongozi waliotokea uvccm wakisapotiwa ima kwa ima na mamlaka ya uteuzi wameutia aibu uongozi kwa kuleta visasi uongozini. Ukitofautiana nao ki mawazo umekuwa adui.
 
kwani siasa ni kwa ajili ya viongozi tu,wakifanya raia inakuwa hatari kwa usalama wa nchi? gambo Mungu anakuona.
 
kwani siasa ni kwa ajili ya viongozi tu,wakifanya raia inakuwa hatari kwa usalama wa nchi? gambo Mungu anakuona.

Kuna mtu hapa jamvini alisema nchi yetu ina watu wa aina mbili
  1. wenye nchi
  2. wananchi
 
Amesema hizo pesa zikakarabati Mt.Meru Hospital.Sasa sijui ajali iaingetokea hospitali ingefanyaje.Maajabu ya Utawala wa JPM Rambirambi ndizo zinajenga Barabara, shule na hospitali.
 
Amesema hizo pesa zikakarabati Mt.Meru Hospital.Sasa sijui ajali iaingetokea hospitali ingefanyaje.Maajabu ya Utawala wa JPM Rambirambi ndizo zinajenga Barabara, shule na hospitali.

Ajali ziongezeke ili rambirambi ziongezeke kufanikisha mipango ya serikali?
 
Ajali ziongezeke ili rambirambi ziongezeke kufanikisha mipango ya serikali?

Safari hii wafe wenyewe wakuu wa wilaya/Mikoa/wakurugenzi wa Halmashauri/Mawaziri zikikusanywa zipeleke kujenga Muhimbili ICU.
 
KAMA NI KWELI BASI MRISHO GAMBO APANGIWE KAZI INGINE, HII IMEMSHINDA!
 
Kwa kuwa sielewi maana ya mkusanyiko usio rasmi na hapa nilipo hospitalini na wagonjwa wenzangu tumekaa kumsubiri doctor inaweza kuwa mkusanyiko usio rasmi kabisa ngoja nichomoke fasta tayari nimeona watu wawili wenye jungle uniform wasije kuwa wako mbioni kutu-down secure na kunyimwa dhamana. Matibabu baadaeeeeeeee mimi huu mkusanyiko una dalili za kutokuwa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…