ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

HABARI

Wamiliki wa shule, meya, waandishi wawekwa chini ya ulinzi shuleni Lucky Vincent


By Mwandishi Wetu, Mwananchi
ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
Arusha. Wamiliki wa Shule Binafsi walioenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent wakiwa na waandishi wa habari wamewekwa chini ya ulinzi na polisi shuleni.

Mwandishi wetu ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameeleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Arusha ambaye hajamtaja jina amewaambia kuwa wako chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.

Mwandishi wetu ameeleza kuwa katika msafara huo pia yupo Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10.

Source

http://mobile.mwananchi.co.tz/Habar...597580-3932034-format-xhtml-lkt8ww/index.html
 
Naona wameshtuka kuwa hiyo direct rambirambi haijakatiwa VAT ndo maana gambo katuma vijana wake
 

Kama hii habari ni kweli basi tulikofika ni pabaya sana tena sana! Pole kwa wote waliofikwa na masaibu haya, ila yana mwisho, na mwisho wake hauko mbali!!!
 
Sasa nimeelewa kawa nini Mfalme Suleiman alimuomba Mwenyezi Mungu HEKIMA
 
Kama ni mkutano wa uchochezi ni sawa tu. Meya kaumbuka kwa kudai serikali imekula pesa, sasa wanataka kutumia siasa kufanya maajabu juu ya ajali iliyogusa wengi.

Mlianza mitandaoni kutishia kutumi nguvu kuichafua serikali, hiyo haikubaliki kabisaaaa.

Ni bora muweke sera zenu mbele zijulikane tho hamna, kuliko kudandia majambo kutafutia kiki.

Mengine tuheshimu dola itupe maelezo zaidi.
 

Uko sawa kweli humo kichwani? Angekuwepo Lema ungerukwa akil zaidininavyona!
Hivi kwa akili ya kawaida na taratibu zetu, kufariji haimanishi kuwatembelea, kukaa nao, kuwaonyesha kujali? Hao wataalam wa tiba za saikolojia (? umesema tiba???) wangefanya nini? Wako wapi? Watafika hapo lini? Imagine uko kwenye limbu la majonzi unaletewa mtu usiyemfahamu aanze kukuhubiria eti ni saikologia! Bure kabisa! au ndizo siasa zenyewe!?
 
Hadi kutoa rambirambi siku hizi mpaka uwe na kibali kweli kazi ipo.!!!
 
Lema wewe tulia kunywa chai ...chukua mshahara ukawasomeshe wanao

Watanzania hawa ni wazito sana kuelewa na wepesi kusahau

Ukijifanya kuwatetea utajiumiza mwenyewe na familia yako

Acha wanyanyasikeeeee...siku wao wakipata akili watajua cha kufanya
 
Huyu ni binadamu?!
 
Hizo rambi rambi wangepeleka majumbani kwa wafiwa sio shuleni
 
Kazi ya kulbugia rambirambi za wafiwa?

Wewe mbona ulikula rambi rambi kwenye msiba wa jirani yenu..alafu sa hv unajidai kushutumu watu...nyani haoni kundule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…