jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Achaa kujiongopea,labda kama file lako liangukie kwa wapelelezi wavivu!!How to get away with murder,it's possible.ukiwa bright kichwani hauchi alama yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achaa kujiongopea,labda kama file lako liangukie kwa wapelelezi wavivu!!How to get away with murder,it's possible.ukiwa bright kichwani hauchi alama yeyote
AiseeMwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne, Oktoba Mosi, 2024 kwa kunyongwa na mkanda wa suruali. Mwili wake ulifunikwa kitambaa chekundu usoni.
Taarifa za awali zinaashiria mgogoro wa kugombea eneo la uchimbaji madini ya ujenzi aina ya moramu ni chanzo cha mauaji hayo.
Soma Pia: Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha tukio hilo akisema uchunguzi umeanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama.
Madini ya ujenzi aina ya moramu.Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne, Oktoba Mosi, 2024 kwa kunyongwa na mkanda wa suruali. Mwili wake ulifunikwa kitambaa chekundu usoni.
Taarifa za awali zinaashiria mgogoro wa kugombea eneo la uchimbaji madini ya ujenzi aina ya moramu ni chanzo cha mauaji hayo.
Soma Pia: Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha tukio hilo akisema uchunguzi umeanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama.
Alitumiwa mkeHivi ni lini watu watajifunza huwezi kukwepa kesi ya mauaji? Ni ngumu sana.
Sasa kwanini uchukue risk ubaki kuishi kwa mashaka? Sasa hivi hata hilo eneo la machimbo ya moram hawatoweza kulitumia kabla hawajadakwa, hasara kubwa.
Lakini, meseji iliyotumwa na wauwaji iko wapi ndugu mleta mada?
Tulishasema humu hii style ya kutekana kuna watu watapita nayo kama upepoMke na ndugu wanagombania sehemu ya kuzika.
Mke anasema aliwambiwa ana muewe akifaa azikiwe nyumban anapoishi ndugu wanapeleka huko kwao kimbeembekuanzia kufa mpaka kuzikwa aisee
Naomba Allah wasielekee mahakaman watamchosha jama
Bora kuliko nyie mnaefia kwenye vidonda ndg na hamwachi chochote kikagombaniwa zaidi ya hasaraFedha Fedheha 🐒
Ñaomba jero boss 🐒Bora kuliko nyie mnaefia kwenye vidonda ndg na hamwachi chochote kikagombaniwa zaidi ya hasara
Ki vp,ebu ongeza nyama kidogo!!Alitumiwa mke
Ova
Wamlitaarifu mke kuwa wanamtundika,wanammalizaKi vp,ebu ongeza nyama kidogo!!
Learn rule carefully you will khow how to break them propellyHivi ni lini watu watajifunza huwezi kukwepa kesi ya mauaji? Ni ngumu sana.
Sasa kwanini uchukue risk ubaki kuishi kwa mashaka? Sasa hivi hata hilo eneo la machimbo ya moram hawatoweza kulitumia kabla hawajadakwa, hasara kubwa.
Lakini, meseji iliyotumwa na wauwaji iko wapi ndugu mleta mada?
Sio drama hii?Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne, Oktoba Mosi, 2024 kwa kunyongwa na mkanda wa suruali. Mwili wake ulifunikwa kitambaa chekundu usoni.
Taarifa za awali zinaashiria mgogoro wa kugombea eneo la uchimbaji madini ya ujenzi aina ya moramu ni chanzo cha mauaji hayo.
Soma Pia: Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha tukio hilo akisema uchunguzi umeanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama.
Sio apunguze kuangalia movie?Achaa kujiongopea,labda kama file lako liangukie kwa wapelelezi wavivu!!
Umeona! Tena movies zenyewe ni Bongo movies!!Sio apunguze kuangalia movie?
Ukiwa na pesa kuwa mkalimu na mwenye kutaka suluhu ya hakiNoma sana, ukiwa huna pesa shida, ukiwa nazo shida, sijui nn kifanyike..
NAUNGA MKONO HOJA.Ukiwa na pesa kuwa mkalimu na mwenye kutaka suluhu ya haki
Wengi wenye pesa za damu ni viburi sana!!Ukiwa na pesa kuwa mkalimu na mwenye kutaka suluhu ya haki