Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

Mlinzi wa shule ya Winning spirit iliyopo Terat jijini Arusha ISSA DINAIH ISSA miaka57 mkazi wa Terati ameuawa Kikatili kwa kukatwa shingo na kutengenishwa na kiwiliwili na watu wasiojulikana na Kisha kuondoka na kichwa Cha marehemu usiku wa kuamkia leo.

Polisi Arusha imeshindwa kuzungumzia tukio hilo ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji yanayoendelea bila kutolewa ufafanuzi Jambo linaloleta taharuki kwa wakazi Arusha
Siro jiuzulu tu. Mauaji yamezidi>>
 
Hili swala limulikwe kwa jicho la tatu,

Viongozi mmelala?

Zindukeni kumekucha sasa.
 
Back
Top Bottom