Pre GE2025 Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu, lakini umejaza umati, Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa jimbo hilo, Mrisho Gambo, ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii

Screenshot_2024-03-22-22-41-07-1.png
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno !

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje ?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii .

View attachment 2942119
Kaipata hiyo
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii

Yaaaniii Gambo .....anatapa tapa....hana pa kwenda...namshauri arudi Dar akaombe wazee wa imani moja wampe connection apewe RC ubungu Arusha mwisho.....hawataki mamlukii
 
SAWA,neno katiba mpya kabla ya uchaguzi melitoa!!?

Au mnaingia kwenye uchaguzi na katiba Ile Ile halafu mje mseme mmeibiwa kura!!?!!?
Au mmefika bei nusu mkate Ili muingie kwenye uchaguzi na katiba ileile!!?
Ni Bora wapate nafasi za ubunge wakapiganie katiba mpya wakiwa bungeni kuendelea kugomea uchaguzi hakuleti matokeo
 
Weka ushahidi , vinginevyo subiri laana wiki ijayo , unabii wa huyu jamaa haucheleweshi
Lema ni mwizi na tunamjua!
Mbona nyinyi hamleti yshahidi wowote kwa woote mnawatuhumu kila siku na kuwaharibia majina kifedhuli bila ushahidi??
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii

We poyoyo hakuna unalojua, huyo mzururaji mvuta bangi hawezi kupata hata udiwani pale Arusha. Nani arudi siasa zake za kishamba na vurugu. Arusha imetulia watu wanafanya shughuli zao za maendeleo. Lema ana mapepo, CHADOMO mmeishiwa kweli hakuna watu wa maana huko
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii

Lema hawezi shinda Jimbo la Arusha wewe elewa Hilo.
 
Back
Top Bottom