Pre GE2025 Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

Pre GE2025 Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Weka ushahidi , vinginevyo subiri laana wiki ijayo , unabii wa huyu jamaa haucheleweshi
Kwani nani asiejua historia yake huyo tapeli na jambazi,,,,hata uchaguzi ujao zitatumika mbinu za kazi yake pendwa kuirudisha CCM jimboni nyie jazeni tu watu mjifurahishe ila jimbo linabaki la CCM kwa njia yeyote
 
Sipo upande wa gambo wala Lema.Ila lema sijuwi anakipi alichofanya Cha kuonekana Kwa macho wakati wa utawala wake.Kama vipo njoo ujitokeze useme ili hata hizo tetesi za wewe kutaka kurudi mjengoni zisiwe na mashaka.
 
Kumuita Lema Nabii wa Mungu ni kufuru ya hali ya juu. Mtu anayeshiriki kutafuna michango ya Join The Chain ilihochangwa na watu maskini anawezaje kuwa Nabii wa Mungu?
Unatafuta laana au unataka akufanyie na wewe unabii wa hizo siku zako chache zilizosalia hapa duniani ?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu, lakini umejaza umati, Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo, ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii

Jamaa anaweweseka tu huko...
 
Sipo upande wa gambo wala Lema.Ila lema sijuwi anakipi alichofanya Cha kuonekana Kwa macho wakati wa utawala wake.Kama vipo njoo ujitokeze useme ili hata hizo tetesi za wewe kutaka kurudi mjengoni zisiwe na mashaka.
Kasimu Majaliwa amefanya nini Rwangwa ? Siku zote Mbunge ni daraja kati ya serikali na wananchi , hana hela za kujenga madaraja
 
Kama si mabavu ya magu mrisho asingewakilisha chugahana uchuga wowote arudi zake kwao Tanga namipasho yake
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!

Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu, lakini umejaza umati, Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?

Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa jimbo hilo, Mrisho Gambo, ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe

Angalia hii

Must CCM go out ili kuruhusu Maendeleo ya Kweli Tanzania
 
Back
Top Bottom