Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hiyo ni habari nyingine , tutaizungumzia wiki ijayoSAWA,neno katiba mpya kabla ya uchaguzi melitoa!!?
Au mnaingia kwenye uchaguzi na katiba Ile Ile halafu mje mseme mmeibiwa kura!!?!!?
Au mmefika bei nusu mkate Ili muingie kwenye uchaguzi na katiba ileile!!?
Mrisho Gambo ni Mbunge wa Mchongo aliingizwa kwa Mabavu, Jimbo la Nabii Lema hilo.Mbunge wa mchongo
HakikaMrisho Gambo ni Mbunge wa Mchongo aliingizwa kwa Mabavu, Jimbo la Nabii Lema hilo.
Kaipata hiyoChama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno !
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje ?
Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe
Angalia hii .
View attachment 2942119
Hahah......nikimwangalia namuonea hurumaMrisho Gambo ni Mbunge wa Mchongo aliingizwa kwa Mabavu, Jimbo la Nabii Lema hilo.
Weka ushahidi , vinginevyo subiri laana wiki ijayo , unabii wa huyu jamaa haucheleweshiNampongeza Lema kwa kufanikiwa kuwa nabii pekee aliewahi kuwa mwizi wa magari
Wezi huwa wanaokoka na moto wao ni mkali. Muulize NdugaiNampongeza Lema kwa kufanikiwa kuwa nabii pekee aliewahi kuwa mwizi wa magari
Yaaaniii Gambo .....anatapa tapa....hana pa kwenda...namshauri arudi Dar akaombe wazee wa imani moja wampe connection apewe RC ubungu Arusha mwisho.....hawataki mamlukiiChama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?
Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe
Angalia hii
Ni Bora wapate nafasi za ubunge wakapiganie katiba mpya wakiwa bungeni kuendelea kugomea uchaguzi hakuleti matokeoSAWA,neno katiba mpya kabla ya uchaguzi melitoa!!?
Au mnaingia kwenye uchaguzi na katiba Ile Ile halafu mje mseme mmeibiwa kura!!?!!?
Au mmefika bei nusu mkate Ili muingie kwenye uchaguzi na katiba ileile!!?
Lema ni mwizi na tunamjua!Weka ushahidi , vinginevyo subiri laana wiki ijayo , unabii wa huyu jamaa haucheleweshi
Watu wa chuga walishampuuza lema maana hogo yake ya viroba ilishapitwa na wakatiHahah......nikimwangalia namuonea huruma
We poyoyo hakuna unalojua, huyo mzururaji mvuta bangi hawezi kupata hata udiwani pale Arusha. Nani arudi siasa zake za kishamba na vurugu. Arusha imetulia watu wanafanya shughuli zao za maendeleo. Lema ana mapepo, CHADOMO mmeishiwa kweli hakuna watu wa maana hukoChama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo ukiandaliwa na kutangazwa kwa masaa mawili tu , lakini umejaza umati ,Je kama ungeandaliwa wiki nzima hali ingekuwaje?
Hii ni Ishara mbaya sana kwa Mbunge wa mchongo wa jimbo hilo Mrisho Gambo , ambaye alipewa ubunge kwa mkono wa Chuma enzi za Jiwe
Angalia hii
Huyo mvuta bangi akagombee kwao machameMrisho Gambo ni Mbunge wa Mchongo aliingizwa kwa Mabavu, Jimbo la Nabii Lema hilo.
Laana hiyo ya kwenu vp,Weka ushahidi , vinginevyo subiri laana wiki ijayo , unabii wa huyu jamaa haucheleweshi
Lema hawezi shinda Jimbo la Arusha wewe elewa Hilo.Chama cha Demokrasia na Maendeleo , leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini , kwenye eneo la soko kuu , mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!