Pre GE2025 Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba wakijaa tu basi hizo zote ni kura za Lema?? Hivi siku wakijaa kutazama CHATU mkubwa basi itakuwa ni kuonesha upendo mkubwa kwa CHATU?

Hiki chama kimepoteza mwelekeo
 
CHADEMA kwa kujitutumua na kushupaza shingo hawajambo.

Ati wametuma tahadhari!

Walimjaribu Mkuu wa Nchi kwa kuanza kuchafua taswira ya wanja la Siasa, wakashindwa na matokeo yake tuliyaona.

Sasa wanasafisha mauchafu yao(mazingira waliyotengeneza) kwa mbinu za kufunika na kupaka matope, kwa kumsingizia Hayat Rais, wakati wakielewa fika wao ni wahusika wakuu. Washindwe.

Washindwe kwa siasa za uchochezi, uhasama, vinyongo na visasi-ikiwa na pamoja na kutoa kauli zenye kujenga Uadui. Waache kushupaza shingo.
 
Gambo nguo zinamlegea,presha inapanda tu haitaki kushuka.

Hivi ile lotion aliyosema Lema atamletea ameshatekeleza ahadi yake kwa Gambo??
 
Porojo kibao ! Jikite kwenye mada tu
 
Kumuita Lema Nabii wa Mungu ni kufuru ya hali ya juu. Mtu anayeshiriki kutafuna michango ya Join The Chain ilihochangwa na watu maskini anawezaje kuwa Nabii wa Mungu?
 
Duh ebwanae!
 
Eti Nabii wa Mungu, hebu punguza ujinga wako na onyesha hekima zako mbele za Watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unakuwa kama Lucas Mwashambwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…