Pre GE2025 Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Weka ushahidi , vinginevyo subiri laana wiki ijayo , unabii wa huyu jamaa haucheleweshi
Kwani nani asiejua historia yake huyo tapeli na jambazi,,,,hata uchaguzi ujao zitatumika mbinu za kazi yake pendwa kuirudisha CCM jimboni nyie jazeni tu watu mjifurahishe ila jimbo linabaki la CCM kwa njia yeyote
 
Sipo upande wa gambo wala Lema.Ila lema sijuwi anakipi alichofanya Cha kuonekana Kwa macho wakati wa utawala wake.Kama vipo njoo ujitokeze useme ili hata hizo tetesi za wewe kutaka kurudi mjengoni zisiwe na mashaka.
 
Kumuita Lema Nabii wa Mungu ni kufuru ya hali ya juu. Mtu anayeshiriki kutafuna michango ya Join The Chain ilihochangwa na watu maskini anawezaje kuwa Nabii wa Mungu?
Unatafuta laana au unataka akufanyie na wewe unabii wa hizo siku zako chache zilizosalia hapa duniani ?
 
Jamaa anaweweseka tu huko...
 
Sipo upande wa gambo wala Lema.Ila lema sijuwi anakipi alichofanya Cha kuonekana Kwa macho wakati wa utawala wake.Kama vipo njoo ujitokeze useme ili hata hizo tetesi za wewe kutaka kurudi mjengoni zisiwe na mashaka.
Kasimu Majaliwa amefanya nini Rwangwa ? Siku zote Mbunge ni daraja kati ya serikali na wananchi , hana hela za kujenga madaraja
 
Kama si mabavu ya magu mrisho asingewakilisha chugahana uchuga wowote arudi zake kwao Tanga namipasho yake
 
Must CCM go out ili kuruhusu Maendeleo ya Kweli Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…